Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah....yaani kwa kifupi akatoe taarifa polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Beretta ARX 160
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....yaani kwa kifupi akatoe taarifa polisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana lolote huyo, yaani ni joka la kibisa!
Weka mambo hapa hadharani tunaweza kuongezea nyama kufanikisha zaidi.Njoo PM
Sio Mambo ya kukuza hayo au kuamini ni ushirikina cha muhimu futa hiyo namba endelea harakati zingine..
Nimeshawahi jikuta nalala nje Mara mbili.. Nikajiongeza nje ndo kuna upepo safi mpaka Leo nalala nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wenge, embu tulia endelea na mishe zako
Hizi imani za kijinga huwa sizifagilii. kuna kipindi nilikuwa na njaa vibaya mno halafu jua kali. nikapita mahali fulani, kuna mnazi chini yake nikaona embe jipya kabisa tena limeiva. nikawaza tu kuwa hili kuna mtu kaungusha kisha nikafanya yangu na mpaka leo mambo safiNaomba niweke wazi, niliamua kuandika hivi kama kumchalenji mleta mada.
Mimi naamini uwepo wa uchawi ila hilo tukio la namba 8 kujiandika, nachukulia ima ni mtu aliamua kuandika, au ni kiatu chake mwenyewe, au ni mdudu kama mende aliingia kwenye unga kisha akatembea kwa kuzunguka zunguka na kutokea kitu (njia alimopita) kama hiyo 8.
Nilitaka kuonesha njia mojawapo waganga wa kienyeji wanatumia kutusoma akili zetu, wakatujaza khofu kwa mambo yasokuwepo kisha wakatupiga pesa ndefu.
Mleta mada nilimjengea khofu kubwa, nikamvutia PM (mara nyingi matapeli hupenda kufanya mambo yao faragha), akaja ila tumediscuss na kushauriana mambo tofauti na alivyokuwa akidhania.
Kwa mfano hata kama ingekuwa kweli kifo cha mtu kimekaribia, hakuna yeyote (awe mchungaji, shekhe au mganga wa kienyeji) ambaye anaweza kukichelewesha au kukiwahisha mda wake.
Yesu yupi wakukanyaga mafuta ya upako? huko ndiyo mtamtapeli kabisa ninyi wachungaji wasanii.
Kumuita Mchungaji aje aombee nyumba yako bila wewe mwenyewe kukubali kutubu na kubadilika ni kupoteza wakati.Sawa mkuu!!asante kwa ushauri
Unataka ukweli upi unaoujua wewe?Unanitisha mkuu,sema kweli bhana!