Ameuliza hiki ni nini?Sitakuja KUKOPA.
Nimeishi kwa misingi ya kuogopa Deni tangia mdogo. Sidaiwi na Binadamu yoyote, ujinga wa kukopa ni kurudisha fedha nyingi na stress juu.
Why uishi kwa MASHAKA?
Sitakopa Kamwe.
Kwan wakat unaenda kukopa hukusoma vigezo na masharti ya mkopo? Walimu mbona mnapenda kujiaibisha sana? Anyway pole dawa ya deni ni kulipa.Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39π₯π₯π₯, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
WakalaMkuuu hua unatumua njia Gani ku deposit na ku withdrawal?
Hawa wote uliowataja ni mapoyoyo tu kama walimu tulionao, sioni utofauti
Aisee, kama ulishasaini na mzigo ukaingia imeisha hiyo. Unless kama ulisaini kwa kulaghaiwa, which is difficult to prove even on the balance of probability.Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39[emoji26][emoji26][emoji26], nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Kiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.Hii tabia ya kuruka kote bila kusoma yaliyoandikwa hata serikali yenu inayo sana ndio maana mikataba inakuwa ya hovyo na mwisho mnalia na kusema tunasitisha mkataba halafu mnapigwa faini ya mabilioni
Tabia ya kusema nisaini wapi inawa cost wengi
Hata kwenye legal binding mnaangalia tu wapi wameandika I AGREE Mnabonyeza kitufe
Sasa wewe unakopa unakubali kurudisha kwa miaka 8 deni la 14m ulitegemea wakudai ngapi?
Ungesaini kurudisha miaka 2 ingepungua sana
Siku nyingine kopa unachoweza kumudu kwa mshahara wako usiwasikilize wanaokukopesha ni wajanja sana
Mataifa ya Ulaya mengi kwa sasa hulazimishwi wala kushawishiwa kisa tu eti una account nao hata kama huna kazi, hii ilikula kwao maana walikula hasara ya mabilioni na serikali imewaambia mtakopaji mtu hela nyingi ambazo hana uwezo wa kuzilipa wala hazilingani na mshahara wake?
Yote kwa yote kataa RIBA ni Haram
Akipupatia nipo nyuma yako ndugu yanguMkuu nazitaka odds 3.niweke 10k kila siku
Pole sanaNimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39π₯π₯π₯, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Kwigwa kwa mbholo, mpaga mininga mmnato
Mkuu Bank karibia zote zinatoza riba ukichukua mikopo kwao ila kuna bank kama Amana ungewajaribuKiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.
Kiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.
Poyoyo wewe unaetamani kuwa mwanamke aka shoga mtarajiwa.Hawa wote uliowataja ni mapoyoyo tu kama walimu tulionao, sioni utofauti
Duh, pole. Kuna bank kwa makato hayo wangekupa mil. 20+Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39π₯π₯π₯, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Chakufanya ni kulipa mkuu,lipa deni lako bila shuruti ili uishi kwa Amani,Pia ujenge Uaminifu ili uweze kukopeshwa tena mara tu baada yakumaliza kulipa deni lako la awali.Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.