Hiki ni nini? Naombeni ushauri nachanganyikiwa. Nimekopa Milioni 14 natakiwa kurudisha Milioni 39

Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Kwan wakat unaenda kukopa hukusoma vigezo na masharti ya mkopo? Walimu mbona mnapenda kujiaibisha sana? Anyway pole dawa ya deni ni kulipa.
 
Miaka 8 ukae na pesa ya watu ulikuwa unategemea riba utarudisha million 2.
Fikiria kama ungekopa kwa mwaka mmoja tu riba ungewalipa kiasi gani. Ukipata jibu zidisha mara 8
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39[emoji26][emoji26][emoji26], nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Aisee, kama ulishasaini na mzigo ukaingia imeisha hiyo. Unless kama ulisaini kwa kulaghaiwa, which is difficult to prove even on the balance of probability.

Kimsingi, hapa unazuiwa kurudi nyuma na kusitisha mkataba ambao tayari ni operative kwa kitu tunaita "doctrine of estoppel". You are estopped from rescinding the contract.

Ila sisi binadamu ni viumbe vya ajabu sana. Kwetu wanasheria huwa tunawashauri wateja wetu kwamba kabla ya kusaini mkataba wowote ule, achilia mbali wa mkopo, wajitahidi watuone kwanza.

Ingawa wengi hawatuoni kabisa ila wapo ambao wanatuona, tunawashauri wasisaini, wanatupuuza wanasaini kimyakimya. Ina maana hapa wanaiamini benki badala yetu.

Mambo yakibuma wanarudi tena kwetu kwa aibu, this time around wanatuamini sisi badala ya benki [emoji28].
 
Walimu ni vilaza sana Yani yanawazaga Hela tu kusoma maelezo hayana mda,, Yani kwa Upumbavu wako ukae na Hela ya Taasisi miaka 8 kweli harafu utegemee riba iwe ndogo?? Hivi kozi ya ualimu chuoni huwa wanawafundisha nn? Mbona vilaza sana nyie
 
Hii tabia ya kuruka kote bila kusoma yaliyoandikwa hata serikali yenu inayo sana ndio maana mikataba inakuwa ya hovyo na mwisho mnalia na kusema tunasitisha mkataba halafu mnapigwa faini ya mabilioni

Tabia ya kusema nisaini wapi inawa cost wengi

Hata kwenye legal binding mnaangalia tu wapi wameandika I AGREE Mnabonyeza kitufe

Sasa wewe unakopa unakubali kurudisha kwa miaka 8 deni la 14m ulitegemea wakudai ngapi?

Ungesaini kurudisha miaka 2 ingepungua sana

Siku nyingine kopa unachoweza kumudu kwa mshahara wako usiwasikilize wanaokukopesha ni wajanja sana

Mataifa ya Ulaya mengi kwa sasa hulazimishwi wala kushawishiwa kisa tu eti una account nao hata kama huna kazi, hii ilikula kwao maana walikula hasara ya mabilioni na serikali imewaambia mtakopaji mtu hela nyingi ambazo hana uwezo wa kuzilipa wala hazilingani na mshahara wake?

Yote kwa yote kataa RIBA ni Haram
Kiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Pole sana
 
Ili kufidia hiyo tofauti, unatakiwa ubuni biashara itakayokuwa inakupa faida angalau 9000 kwa siku, kwa siku zote mpaka pale deni litakapoisha.
 
Kiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.
Mkuu Bank karibia zote zinatoza riba ukichukua mikopo kwao ila kuna bank kama Amana ungewajaribu
Mimi sipo Bongo na sichukui mkopo hata iweje bali nina akiba zangu na nikihitaji natumia au naingia Upatu kwa hela za haraka
Screenshot_20230910_161839_Google~2.png

Kiongozi nipe chimbo la mabenki ya dola ya kiislamu nasikia huwa hawana riba ...kama kuna vigezo n masharti nitonye, haya mabenk ya wakristo ni nyonya damu kabisaa, tena yana undugu na mazombie.
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Duh, pole. Kuna bank kwa makato hayo wangekupa mil. 20+
Kama ni hivi vitaasisi uchwara, Mkuu umeshaliwa.
Labda uwaroge tu, maana ni washenzi sana.
 
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.

Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!

Hii sio haki serikali iko wapi jamani?

Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Chakufanya ni kulipa mkuu,lipa deni lako bila shuruti ili uishi kwa Amani,Pia ujenge Uaminifu ili uweze kukopeshwa tena mara tu baada yakumaliza kulipa deni lako la awali.
 
Back
Top Bottom