Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Natamani nijue hii michezo naonaga tu watu wanapiga hela 🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani nijue hii michezo naonaga tu watu wanapiga hela 🤭🤭
Saccoss gani hii?Mmi nikichukua mkopo Kwa succoss 4ml Kwa maika 2 full burudan
Nakatwa 197470 per month
At the end ntalipa 4.75m
Acha ujinga dogoDada usiwe mkali... angalia unazeekea kwa shemeji yako!
Nimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39😥😥😥, nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Tusimtishe hapo wamekosea, haiwezekani umdai 39 wakati ulimpa 14. Inatakiwa adaiwe 14 na riba ya wakati huo, ili akiamua kulipa kwa mkupuo analipa deni na kitu inaitwa early settlement fee.Kwa kifupi hapo huna Cha kufanya,umesaini mkataba na hela umewekewa,ukirudi kwao ukasema unataka kulipa yote sahizi kwa mkupuo watakukwambia tupe 39m,unachotakiwa ni kujifunza tu kutokana na makosa
39000000-14000000=25000000Hiyo ni riba ya uongo, maana ukipiga hesabu ya kiasi anachotakiwa kulipa baada ya miaka hiyo 8 unakuta riba ni zaidi ya asilimia 60
Atakuwa TGS GKwa huo mshahara wako wa sh 1,530,000 basic, inadhihirisha ni mkongwe kazini na huo sio mkopo wako wa kwanza!
Umeingiaje chaka sasa?
Kama unaona Kuna la kukusaidia kwenye hili andiko langu chukua, litakusaidia for future, lakini kama huoni chochote Cha kukusaidia potezea. Wabongo tunapenda kujitutumua mafichoni pale wanapohisi hawaonekani au anavyoishi hapaonekani kwa wakati ule, ila ukimuweka kwenye vilengeo ni hopelessAcha dharau umbumbumbu wa fedha ni swala la mtu binafsi na watanzania walio wengi hawana elimu ya fedha usionee walimu eti kisa walimu wanaonekana kirahisi sababu ya wingi wao
Ila ni too much Mkuu, yaani pamoja na Serikali kutoa riba nafuu kwa Mabenki ya asilimia 7 ila wao wanatupiga riba za 23% 🙆♂️🙌39000000-14000000=25000000
Interest ya bank=25000000Tsh/=
Interest=(principle*rate*time)/100
25000000=(14000000*rate*8)/100
25000000=140000*8*rate
Rate=25000000/1120000
Rate=22.321%
Mkuu Early settlement fee kawaida inatakiwa isizidi kiasi gani?Tusimtishe hapo wamekosea, haiwezekani umdai 39 wakati ulimpa 14. Inatakiwa adaiwe 14 na riba ya wakati huo, ili akiamua kulipa kwa mkupuo analipa deni na kitu inaitwa early settlement fee.
Mleta mada dai mkataba wako angalia riba ni kiasi gani uza mkopo kwa mabenki kama CRDB then enjoy maisha. Usiwe mnyonge na mtumwa. Kukopa sio dhambi.
Ulipo jana form na kila mwezi unalipa 400k kwa mda wa miezi 96 hukupiga hesabu kuwa inakuja 38.4m ....hkuona hilo? ..... nahisi wew ndo una makosaNimevumilia ila nimechoka acha niwaambie, ndugu walimu nimekopa AbC bank shilingi milioni 14 nikatwe kwa miaka nane sawa na miezi 96, nakatwa shilingi laki nne na elfu 14 kwa mwezi.
Nimeshangaa kukuta kwenye salary slip deni ni milioni 39[emoji26][emoji26][emoji26], nimelia sana yaani nakopa 14M narudisha 39?
Mimi kwakua nilikua nina dharula ya haraka sana nilienda ABC maana niliabiwa kule hauzunguki sana na nilipofika niliongea nao tu mda ule ule nikajaza fomu nikaondokq mkopo ukaingia kesho yake, najuta sikupata mda wa wenda kusoma makubaliano na wala hawakunipa nakala yoyote!
Hii sio haki serikali iko wapi jamani?
Nifanyeje naombeni ushauri wenu
View attachment 2744997
Ukute siku hiyo alialika marafiki kuzindua mkopoNa hapo ukute mkopo haujatimiza lengo umetumika ndivyo sivyo
Sasa mbona hii ni karibu riba ya asilimia 200?Kwanini usingeenda NMB au CRDB?
Bayport walinifata ofisini ili wanikopeshe nilipowauliza riba ni asilimia wakaanza chenga chenga braah braah kibao,nikambananisha mmoja wao akaniambia riba ni 47% nikawafukuza ofisini.
Wewe umefanya maamuzi mazuri kabla ya kukubali mkopo chunguza riba.Mmi nikichukua mkopo Kwa succoss 4ml Kwa maika 2 full burudan
Nakatwa 197470 per month
At the end ntalipa 4.75m