Ndugu yangu ntafsirieeee Mimi nilikimbia umandeee!Inasikitisha sana
Dah ww acha tuu n mume anamtongoza mkewe huko usokitabuNdugu yangu ntafsirieeee Mimi nilikimbia umandeee!
Kwani hayo maelezo ya kingleza yanasemaje ... Usikute ni Tangazo la mama Samia amesema tutumie account number za kupokea hela nikapitwa avaae! Thelaaaa
๐๐๐๐ฟNdugu yangu ntafsirieeee Mimi nilikimbia umandeee!
Kwani hayo maelezo ya kingleza yanasemaje ... Usikute ni Tangazo la mama Samia amesema tutumie account number za kupokea hela nikapitwa avaae! Thelaaaa
Ndugu yangu ntafsirieeee Mimi nilikimbia umandeee!
Kwani hayo maelezo ya kingleza yanasemaje ... Usikute ni Tangazo la mama Samia amesema tutumie account number za kupokea hela nikapitwa avaae! Thelaaaa
Asalaaleeeeeeeeee nimelia sanaaaa ๐ญDah ww acha tuu n mume anamtongoza mkewe huko usokitabu
Mkuu wewe ni ndugu mwema sanaaaa! Huu undugu wetu udumu sanaaa. Huna mdogo wako wa kike nioe ๐คฃ
๐๐๐Hayupo kwa herufi kubwa, sema eb nkupe binamu๐๐ฎMkuu wewe ni ndugu mwema sanaaaa! Huu undugu wetu udumu sanaaa. Huna mdogo wako wa kike nioe ๐คฃ
Ili huu undugu usifeeee!
Aiseeee hili nalo limenilizaaaa
Mbona umejibu kwa haraka sanaaa ๐ ... Mimi ni mtu mwema sanaaa .... Bwana anakuona kama unasema kweli๐๐๐Hayupo kwa herufi kubwa, sema eb nkupe binamu๐๐ฎ
Ndo hivo mkuu,Mbona umejibu kwa haraka sanaaa ๐ ... Mimi ni mtu mwema sanaaa .... Bwana anakuona kama unasema kweli
Mbona wewe ulitujaribu kuwa Kuna kazi ya kupata bleki fastiii na lanchii mkuu?Kuna amri inasema, 'usimjaribu bwana Mungu wako'
Nami narudia kusema, usimjaribu mtu unayempenda ambaye vyovyote vile, hauko tayari kumuacha.