ππΏNimemjibuuuuuuuuu
She's a good gal
Sikimbii mkuu, nitag akiwa tayari kuitwa Shem ππUnamkimbia ndugu yakoooo π
Wewe hufaiiiii
Inabidi kusogea pale veta angalau kuongeza ujuzi mwingine πNi kweli Mkuu! Sasa tuliosoma kishazii kishirikishi na nomino mbinjukooo, unadhani tutafanya vitendo Gani?
Umefika mbaliii sanaaa ndugu yangu, Mimi jobless na hayo mambo wapi na wapi mkuu?Sikimbii mkuu, nitag akiwa tayari kuitwa Shem ππ
Ila umeongea point mkuu! Mfano ujuzi Gani ?Inabidi kusogea pale veta angalau kuongeza ujuzi mwingine π
πUnapunguza Figo, na tumewaachia uziUmefika mbaliii sanaaa ndugu yangu, Mimi jobless na hayo mambo wapi na wapi mkuu?
Nikiombwa afu hamsiniii ntaitoa wapi
Ngoja nikuonyeshe kitu ππUnapunguza Figo, na tumewaachia uzi
Ila umeongea point mkuu! Mfano ujuzi Gani ?
Si Kuna hizi nafasi za masomo ya bure za veta
Eheeπ€Ngoja nikuonyeshe kitu π
Kwa umriii huu niliona nao π hapana aiseeeKasome hivi vitu, kama utaweza kusoma vyote vitatu; utaogopeka mjini:-
Mfumo wa injini wa magari Umeme wa magari Bodi za magariUkisoma zote, na ukaiva vizuri kwa vitendo na usiwe mtu wa blah blah; nakuakikishia hutolala njaa na utamiliki biashara kubwa.
Daktari unaye nikuunganishe na boss
Unataka semaji la majobless promax awe na Figo Moja πDaktari unaye nikuunganishe na boss
Mdomo ndo ulomuweka kazini vingine nyongezaπUnataka semaji la majobless promax awe na Figo Moja π
Oyaaa Edo Uzi wa watu huu unajua πMdomo ndo ulomuweka kazini gingine nyongezaπ