Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu.

‼️TAFAKURI‼️

Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo ambazo muanzilishi wake ni Mhe. Lema na amekuwa akimrushia Mhe. Heche tuhuma izo kwa nyakati tofauti tangu kipindi kile ulipotokea Msiba wa Mzee Suez, na kuna baadhi ya watu ndani ya Chama wanaweza kuthibisha hiki nilichoandika.

Lakin jambo ambalo limenishtua zaidi na linasumbua ubongo wangu ni kwamba juzi Mhe. Lema wakati anajibizana na Sativa alisema kwamba Mhe. Heche alirudishiwa passport yake na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa wakati anajua fika kwamba sio kweli, mtu ambae alishughulikia swala la passport ya Mhe. Heche hadi ikarejeshwa ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala.

Nimejiuliza maswali mengi sana kwamba kwanini kila siku tuhuma zote za Uwongo dhidi ya Mhe. Heche huwa ananzisha Mhe. Lema then akimaliza kuongea ndo machawa wanachukua na kuanza kufanya press za kumshambulia Mhe. Heche????

Swali jingine kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema maana nimejiuliza sana kwanini kila tuhuma za uwongo ambazo amewahi kuzitumia kumshambulia Heche leo Katuga kazitumia kumucross Mhe. Heche???

Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
 
Duh kweli hakuna rafiki wala adui wa kudumu, huyu huyu lema ndo kafikia Hapa?
🙌
Mimi nilishangaa kipindi kile Lema anasimama dhidi ya Mbowe. Ingawa he was genuine by then.
Nitakuja kuandika kilichoeabadilisha ghafla watu ndani ya CHADEMA au nitamuachia mtu fulani asndike. Kuna member humu nimemuona mawasiliano yake mahala akiunganisha taarifa fulani na aliyoyapata ni sahihi
 
Hawa machawa wa Heche ndio chanzo cha haya yote, vyema wajue tu, kadri wanavyozidi kuhangaika na Lema ndivyo wanavyozidi kumuweka Heche kikaangoni.
 
Mimi nilishangaa kipindi kile Lema anasimama dhidi ya Mbowe. Ingawa he was genuine by then.
Nitakuja kuandika kilichoeabadilisha ghafla watu ndani ya CHADEMA au nitamuachia mtu fulani asndike. Kuna member humu nimemuona mawasiliano yake mahala akiunganisha taarifa fulani na aliyoyapata ni sahihi
Andika tuu ww, mambo yasiwe mengi
 
1789418028752.jpeg

Wanajua lissu akishinda atadai fidia hivyo wana wahi cha kwao mapema
1789418076122.jpeg
 
Heche anayewekewa 30m na mtu halafu anasema hamjui mwekaji sio wa kumwonea huruma. Cha muhimu tunazidi kufahamu uchafu wenu. Na hivi mnavyomshambulia Lema ndo mnazidi kumbomoa Heche na CHADEMA kwa ujumla.
 
Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu.

‼️TAFAKURI‼️

Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo ambazo muanzilishi wake ni Mhe. Lema na amekuwa akimrushia Mhe. Heche tuhuma izo kwa nyakati tofauti tangu kipindi kile ulipotokea Msiba wa Mzee Suez, na kuna baadhi ya watu ndani ya Chama wanaweza kuthibisha hiki nilichoandika.

Lakin jambo ambalo limenishtua zaidi na linasumbua ubongo wangu ni kwamba juzi Mhe. Lema wakati anajibizana na Sativa alisema kwamba Mhe. Heche alirudishiwa passport yake na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa wakati anajua fika kwamba sio kweli, mtu ambae alishughulikia swala la passport ya Mhe. Heche hadi ikarejeshwa ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala.

Nimejiuliza maswali mengi sana kwamba kwanini kila siku tuhuma zote za Uwongo dhidi ya Mhe. Heche huwa ananzisha Mhe. Lema then akimaliza kuongea ndo machawa wanachukua na kuanza kufanya press za kumshambulia Mhe. Heche????

Swali jingine kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema maana nimejiuliza sana kwanini kila tuhuma za uwongo ambazo amewahi kuzitumia kumshambulia Heche leo Katuga kazitumia kumucross Mhe. Heche???

Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
Leo heche umeshikwa pabaya, sio kwa huu mfululizo wa mada unazotoa kujitetea na kuangushia jumba bovu lema
 
Cha a kitajivua Gamba awamu ya pili, awamu ya Mwamba ilikuwa ya mwanzo
 
Back
Top Bottom