Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Na lazima tumfukuze shenzi huyo.Lema anaenda kufukuzwa chadema
Heche kapiga makende ya machoko yaliyolegezwa mgongo. Na bado kesho anaendeleza kipigo Kwa machokoLeo heche umeshikwa pabaya, sio kwa huu mfululizo wa mada unazotoa kujitetea na kuangushia jumba bovu lema
Ukikua utajifunza kuchangia madaHeche kapiga makende ya machoko yaliyolegezwa mgongo. Na bado kesho anaendeleza kipigo Kwa machoko
Ni bora wamfukuze, alibaki kwa kazi maalum wakati wenzake wanaenda CHAUMA.Lema anaenda kufukuzwa chadema
Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu.
‼️TAFAKURI‼️
Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo ambazo muanzilishi wake ni Mhe. Lema na amekuwa akimrushia Mhe. Heche tuhuma izo kwa nyakati tofauti tangu kipindi kile ulipotokea Msiba wa Mzee Suez, na kuna baadhi ya watu ndani ya Chama wanaweza kuthibisha hiki nilichoandika.
Lakin jambo ambalo limenishtua zaidi na linasumbua ubongo wangu ni kwamba juzi Mhe. Lema wakati anajibizana na Sativa alisema kwamba Mhe. Heche alirudishiwa passport yake na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa wakati anajua fika kwamba sio kweli, mtu ambae alishughulikia swala la passport ya Mhe. Heche hadi ikarejeshwa ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala.
Nimejiuliza maswali mengi sana kwamba kwanini kila siku tuhuma zote za Uwongo dhidi ya Mhe. Heche huwa ananzisha Mhe. Lema then akimaliza kuongea ndo machawa wanachukua na kuanza kufanya press za kumshambulia Mhe. Heche????
Swali jingine kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema maana nimejiuliza sana kwanini kila tuhuma za uwongo ambazo amewahi kuzitumia kumshambulia Heche leo Katuga kazitumia kumucross Mhe. Heche???
Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
lakini CDM huwa mnamtumia kama nabii wenu,
Nyerere aliona mbali kusema Mchaga asiwe Rais.
Lema alihusika pakubwa sana kuua career ya kisiasa ya Zitto Kabwe. Alikuwa anamuandama kila kukicha kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo
Mimi nitaongeza machache juu ya haya yako.Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
Chauma ya yeriko vipi sio wapigaji? Hivi ule mchakato wa michango Yao imeishia wapi au hao hatupaswi kuwapiga kelele na kuwahoji Hela zao tunabaki kumhoji jezi ya Arsenal ya Mzee heche??????Not always… Chadema wapigaji wengi
Pesa nyoko sana, Lemma kafika bei, kapewa offer ambayo ameshindwa kuikataa, ugumu aliokuwa anaonyesha kumbe ndiyo alikuwa anapandishs bei, mama'e !!Duh kweli hakuna rafiki wala adui wa kudumu, huyu huyu lema ndo kafikia Hapa?
🙌
Mimi CDM simuamini yeyote! Wote mnafika bei ila wengine hamjafatwa kupewa hela ndio maana mnaonekana watiifu.Pesa nyoko sana, Lemma kafika bei, kapewa offer ambayo ameshindwa kuikataa, ugumu aliokuwa anaonyesha kumbe ndiyo alikuwa anapandishs bei, mama'e !!
Aliona lini na akiwa wapi?Nyerere aliona mbali kusema Mchaga asiwe Rais.
Mimi nifike bei ili iweje? Mimi siyo active politician niko humu for leisure tu.Mimi si mtukanaji bali huwa natoa wasifu tu wa mhusika.Mimi CDM simuamini yeyote! Wote mnafika bei ila wengine hamjafatwa kupewa hela ndio maana mnaonekana watiifu.
Hata Lissu simuamini! Ole wako unitukane
Bc kila mtu atanunuliwa tuu n suala la muda tuuPesa nyoko sana, Lemma kafika bei, kapewa offer ambayo ameshindwa kuikataa, ugumu aliokuwa anaonyesha kumbe ndiyo alikuwa anapandishs bei, mama'e !!
akifukuzwa huoni atazidi kukivuruga chama? Haya ndiyo double agent yanayozungumzwa. Haiwezi chama kipo kwenye wakati mgumu halafu anajitokeza kada kuleta tuhuma kwa wenzake huku akijua maadui watazitumiaLema anaenda kufukuzwa chadema