Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

Chauma ya yeriko vipi sio wapigaji? Hivi ule mchakato wa michango Yao imeishia wapi au hao hatupaswi kuwapiga kelele na kuwahoji Hela zao tunabaki kumhoji jezi ya Arsenal ya Mzee heche??????
Kwa kuwa kuwa chaumma ni wapigaji na chadema wawe wapigaji? Two wrongs don’t make right
 
Kwa kuwa kuwa chaumma ni wapigaji na chadema wawe wapigaji? Two wrongs don’t make right
Taratibu mkuu, hivi ukiwa mfanyabiashara na mwanachama wa chama Fulani kwani hautakiwi kufanya biashara na mteja wa chama tofauti na chako?? Let's say Nina duka langu Mimi mwanachama wa chauma kaja mteja wa ACT kununua kitu kwa hiyo sitakiwi kupokea pesa yake kisa itaonekana nimechukua pesa ya ACT?? Mbona watanzania tunakuwa mazezeta sana
 
Usiku wa leo ni mrefu sana kwa baadhi ya watu.

‼️TAFAKURI‼️

Leo kwenye Cross Examination kuna maswali binafsi Katuga kamuuliza Mhe.Heche ila kimsingi hayo maswali yanatakona na tuhuma za uwongo ambazo muanzilishi wake ni Mhe. Lema na amekuwa akimrushia Mhe. Heche tuhuma izo kwa nyakati tofauti tangu kipindi kile ulipotokea Msiba wa Mzee Suez, na kuna baadhi ya watu ndani ya Chama wanaweza kuthibisha hiki nilichoandika.

Lakin jambo ambalo limenishtua zaidi na linasumbua ubongo wangu ni kwamba juzi Mhe. Lema wakati anajibizana na Sativa alisema kwamba Mhe. Heche alirudishiwa passport yake na Mkurungenzi wa Usalama wa Taifa wakati anajua fika kwamba sio kweli, mtu ambae alishughulikia swala la passport ya Mhe. Heche hadi ikarejeshwa ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Dr. Rugemeleza Nshala.

Nimejiuliza maswali mengi sana kwamba kwanini kila siku tuhuma zote za Uwongo dhidi ya Mhe. Heche huwa ananzisha Mhe. Lema then akimaliza kuongea ndo machawa wanachukua na kuanza kufanya press za kumshambulia Mhe. Heche????

Swali jingine kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema maana nimejiuliza sana kwanini kila tuhuma za uwongo ambazo amewahi kuzitumia kumshambulia Heche leo Katuga kazitumia kumucross Mhe. Heche???

Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
Ok, twende kwenye healthy break, turudi saa ngapi?
 
Back
Top Bottom