Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?


Lema alihusika pakubwa sana kuua career ya kisiasa ya Zitto Kabwe. Alikuwa anamuandama kila kukicha kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo
 
Wanasiasa iwe upinzani ama watawala hawana dhamana,muda wowote wanaku-disappoint.
Hii inchiii kazi kweli kweli.
Kuna angle mawakili wa sirikali wamembananisha Heche,ila trust me ikitokea viongozi wale wakatokea mahakamani moto atakaowasha Lissu hawatasahau,huyu jamaa ni mbaya sana kwenye maswali yupo very informed.
Tuombe uzima.
 
Maswali ni mengi ila kwa leo naomba niishie hapa maana nachanganyikiwa niko hovesi.
Mimi nitaongeza machache juu ya haya yako.
1. Jana/juzi Jumatatu mahakamani kabla ya Heche kuanza kutoa ushahidi wake, hapo hapo mahakamani Lema na Katuga walikuwa wakibadilishana maneno ya furaha na vicheko na kupigiana 'High Fives' . Hiyo lugha ya mwili katika picha hiyo inaweza kuongeza ufahamu wa uhusiano wa hawa watu, Lema na Katuga.
Hiyo picha imo humu JF ukitaka itafute nawe ujiridhishe. Sisi wengine hufuatilia hivi vidogovidogo visivyoonekana kuwa vya maana kwa watu wengi.

2. Hilo la pasipoti nami lilinitatiza sana nilipolisikia mara ya kwanza, sasa leo nikasikia tena habari tofauti kabisa na ile iliyoelezwa mwanzo.

3. Niliuliza swali humu jana au juzi, lakini jibu lake sikupata.
Sasa ngoja niulize tena, pengine kutakuwepo na jibu safari hii.
Kuelekea kwenye siku ya uchaguzi, Oktoba mwaka jana,; Lema alijitokeza na kudai kutafuta salama yake, awekwe mahabusu hadi uchaguzi uishe; kwa maana kwamba alihofia usalama wake wakati wa uchaguzi.

Sasa tunajuwa Heche na wengine walikamatwa na kuwekwa ndani wakati huo.
Je, Lema na yeye aliwekwa ndani au alikuwa wapi wakati huo?

Tafadhali, mwenye kujuwa hili asaidie. Au kama kuna anayewasiliana na Lema moja kwa moja, amtafute ili tupate jibu sahihi.
 
Not always… Chadema wapigaji wengi
Chauma ya yeriko vipi sio wapigaji? Hivi ule mchakato wa michango Yao imeishia wapi au hao hatupaswi kuwapiga kelele na kuwahoji Hela zao tunabaki kumhoji jezi ya Arsenal ya Mzee heche??????
 
Pesa nyoko sana, Lemma kafika bei, kapewa offer ambayo ameshindwa kuikataa, ugumu aliokuwa anaonyesha kumbe ndiyo alikuwa anapandishs bei, mama'e !!
Mimi CDM simuamini yeyote! Wote mnafika bei ila wengine hamjafatwa kupewa hela ndio maana mnaonekana watiifu.

Hata Lissu simuamini! Ole wako unitukane
 
Mimi CDM simuamini yeyote! Wote mnafika bei ila wengine hamjafatwa kupewa hela ndio maana mnaonekana watiifu.

Hata Lissu simuamini! Ole wako unitukane
Mimi nifike bei ili iweje? Mimi siyo active politician niko humu for leisure tu.Mimi si mtukanaji bali huwa natoa wasifu tu wa mhusika.
 
Lema anaenda kufukuzwa chadema
akifukuzwa huoni atazidi kukivuruga chama? Haya ndiyo double agent yanayozungumzwa. Haiwezi chama kipo kwenye wakati mgumu halafu anajitokeza kada kuleta tuhuma kwa wenzake huku akijua maadui watazitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…