Hilda Newton: Kuna connection gani Kati ya Mawakili wa Serikali na Mhe. Lema?

Chauma ya yeriko vipi sio wapigaji? Hivi ule mchakato wa michango Yao imeishia wapi au hao hatupaswi kuwapiga kelele na kuwahoji Hela zao tunabaki kumhoji jezi ya Arsenal ya Mzee heche??????
Kwa kuwa kuwa chaumma ni wapigaji na chadema wawe wapigaji? Two wrongs don’t make right
 
Kwa kuwa kuwa chaumma ni wapigaji na chadema wawe wapigaji? Two wrongs don’t make right
Taratibu mkuu, hivi ukiwa mfanyabiashara na mwanachama wa chama Fulani kwani hautakiwi kufanya biashara na mteja wa chama tofauti na chako?? Let's say Nina duka langu Mimi mwanachama wa chauma kaja mteja wa ACT kununua kitu kwa hiyo sitakiwi kupokea pesa yake kisa itaonekana nimechukua pesa ya ACT?? Mbona watanzania tunakuwa mazezeta sana
 
Ok, twende kwenye healthy break, turudi saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…