Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Katoto kamoja kafupi, kana rangi ya chocolate halafu kamejaza zile 'lahma' zenye ladha!

Halima Mdee asingewahi 'kubutua kombolela' kutetea wanyonge kina Nusrat basi nahakika 'Kamati kuu' ingemteua kuwa Mbunge wa viti Maalum
Bado Wana nafasi mkuu, wampe hata udiwani wa viti maalumu kama nafasi zipo.

Hao ndio wakuwapa teuzi.
 
ni mwenyekiti wa Bavicha Temeke
Hiyo nafasi haitoshi mkuu, anatakiwa angalau awe diwani wa viti maalumu (awe kiongozi atakayehudumia wananchi moja kwa moja kupitia uwakilishi wake kwenye baraza la madiwani).
 
utawala huu hauogopi kunywa damu ya mtu, ushauri mzuri kwake - we need you sis.
 
Siku zote hizi nilijua wewe Salary Slip ni cdm in inner circle, kumbe ni kolo tuu humjui hata hilda newton. Anyway, ni kadada flani kifupi fupi kibishi kweli kweli kina amini ktk siasa vobaya mno. Nishalutana nacho mara mbili ila hakitaki kutoa uchi kwa wakubwa then kitabaki ivo ivo kwenye mitandao hata viti maalun hakitapata
 
Hii ni JF mkuu, watu hawajianiki wazi wazi
 
Dada yangu Hilder, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda.

Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani tunaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea na hapa ndipo pananifanya nikuunge mkono kwani hata mimi nachukizwa sana na mambo kama uonevu, unyanyasaji, mauaji, utesaji, doublestand, Usain na mengineyo ya aina hiyo ambayo kwa sasa yamekuwa sehemu ya maisha yetu kama Taifa.

Hata hivyo, kwakuwa unafahamika kwa maana ya kutotumia 1D fake huko Twitter,nakushauri uwe makini katika nyendo zako kwani unagusa watu fulani ambao wanaweza wasiwasi wavumilivi.
Huyu dada huwa namkubali sana, ana misimamo na hatumbishwi ila jamani hata akina Mdee na covid 19 nao walikua kama hilda, i don't know what went wrong walah[emoji22][emoji22][emoji22]
 
Huyu binti nampenda Sana natamani siku moja nionane naw jamn.
 
Huyu dada huwa namkubali sana, ana misimamo na hatumbishwi ila jamani hata akina Mdee na covid 19 nao walikua kama hilda, i don't know what went wrong walah[emoji22][emoji22][emoji22]
Kuna mtu nilimwambia anipe sababu za akina Halima kusaliti.Alinipa jibu la kitaalam ambalo ni very strange.Aliniambia kwa kifupi kuwa,nanukuu:"Unafikiri maji yakifika shingoni mwanamke anaweza kukimbilia exile kama walivyokimbia akina Godbless Lema?"
 
Siada za Tanzania zinakatisha tamaa sana, of all the people sikuwahi kuwaxa Halima atasaliti mapambano
 
Huyu kada wa cdm anakosea pale ambapo anavaa nguo fupi kupitiliza mpaka kufuli unaweza kuliona hiyo ndio sifa yake kubwa mbaya. Lakini kwa misimamo na kauli za kisiasa yuko vizuri
 
Yote uliyoongea sio sahihi,and here is why:

---Umeshindwa ku-attack hoja,umeishia kuongelea uzuri wa sura as if yeye ndio alichagua kujiumba vile?As if na wewe upo kwenye upper hand maana ulichagua sura nzuri somwhere?Umegeukia biology ambayo mwanadamu hana maamuzi nayo including wewe binafsi unajitia kujipa mamlaka ya kukosoa biology za watu

---Akiamua kuwasaidia wenzake wafanikiwe kwenye siasa nadhani ni uamuzi wake,sidhani kama wewe upo kwenye position ya ku-critisize uamuzi binafsi wa mtu..Kama wewe hutaki kusaidia mtu,basi ni wewe,yeye kaamua kusaidia,nadhani kila mtu abakie na uamuzi wake yeye binafsi

---Ni ajabu wewe kudhani kuingia kwenye siasa ni kufuata fedha...Kama idea yako kuingia kwenye siasa ni kujijengea pesa nadhani una very dangerous thinking....Kama unataka fedha kwanini usifanye biashara upate fedha nyingi na kwa wingi na kwa halali?....Mtu kuhitaji fedha ni uamuzi wake,huenda yeye hataki kama unavyotaka wewe!

---Yeye mwenyewe ndio anajua anachotaka kwenye siasa...Nadhani ni vizuri ukamuuliza akakupa jibu kwa mdomo wake,nachoona hapa umejigeuza "mtabiri" of which wewe sio prophet!
Hicho kidada kikamanda chenu kinasumbuliwa na ushamba kimekaa kienyeji sana. Uwezi fananisha na kina Halima kina Bona yani wanasiasa lakini wana nuru ya mjini.

Hicho ki hilda kimekaa kama mgambo wa kijiji.
 
Leo Halima Mdee anasifiwa na MATAGA!!! Ama kweli unafiki nao ni kipaji!
 
Sasa wewe unasema yuko Twitter lakini wewe unampa ushauri huku JF!! Hivi wewe una akili timamu kweli??
 
Huyo Hilda ni demu fulani mshamba mshamba hata sura bado anaonekana wa kienyeji. Hakuna wa kuangaika nae japo anapambana kupata attention.

Hajui hata anatafuta nini kwenye siasa wenzake wajanja wanamtumia kufanikiwa kisiasa na kuingiza pesa, ataishia hivyo hivyo kupiga kelele twitter na sura yake nzito.
Umenena vyema kaka, ni mtu fulani anayelazimisha kujulikana
 
Back
Top Bottom