Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Haya watu wasiojulikana mambo hayo,utawala unayaficha,
Wewe umepitwa na wakati ... hiyo ni ya zamani .. mwezi Februari, 2020 na wala si siri ni kwa ajili ya kuongezea kipande cha reli ya Morogoro-Makutupora.

Uwe hata unaangalia hata Tarehe basi.

Mpango_Bank_2.JPG

Standard Chartered CEO Sanjay Rughani with Minister of Finance and Planning Hon. Phillip Mpango

Mpango_Bank.jpg

Dar es Salaam, Tanzania - 13 February 2020: The Government of Tanzania Ministry of Finance, today signed a facility agreement with Standard Chartered Tanzania for a US$ 1.46 billion term loan financing to fund the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Dar es Salaam to Makutupora.​

cc: Abraham2020
 
Huyu kada wa cdm
Threats , Ni wanawake wamepigwa vitisho vya nguvu sana , Jiwe akose tilioni mbili ?
Unadhani hizo trillions atazipata kwa mchakato huo alioutumia? The world is full aware of everything, nadhani njia nzuri angetafuta namna ya kufanya maridhiano na viongozi wakuu wa Chadema na baada ya hapo ndio chama kifanye utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalumu kwa misingi ya katiba na sheria
 
Fear mongering hii.

Akipotezwa si yeye?

Na akipotezwa ni haki bila kupitishwa mahakamani?

Nchi ishageuka gangster state na wewe upo hapa ku-normalize hii hali

Yaani unaongea as if ni haki yao hao "wapotezaji" kumpoteza huyo dada?

Yaani ume-normalize hii hali kiasi kwamba inaonesha kama Hilda ndio mwenye makosa ajilinde vile..

Ilitakiwa wewe kutoa uzi kuwaonya "wapotezaji" wasimguse kabisa Hilda,ila wewe upo hapa kumuonya hilda ataguswa na ni haki ya "wagusaji" kumgusa Hilda

Wewe yaani upo ku-sympathize na waonevu vile,Hilda yeye ndio ajicheck na sio wale wakamataji wakome kukamata watu!

Hii nchi aisee
Aaiiseee!
Wewe umekuja kivingine kabisa, na sijui kama atakuelewa vizuri.
Lengo zima la vitisho ni kuogopesha watu.
Mkuu 'Salary' kawa sehemu ya kuogopesha watu bila kujua.

Mkuu 'Salary' angeeleweka vizuri sana kama angewatahadharisha hao 'wasiojulikana', kwamba wakimgusa Hilda, wapenda haki hawatanyamaza, wataitangazia dunia nzima juu ya uhusika wao katika kumudhuru Hilda.

Linalotakiwa kufanywa na wapenda haki wote, na wapinga uonevu ni kuwa na umoja kati yao, kwamba yeyote akiguswa, hawatanyamaza. Watafanya kila liwezekanalo kutangazia ulimwengu juu ya uovu huo.
 
Hii nchi bwana inanikumbusha ule ukatili wa wakoloni wa kuwakata mikono watu wote wenye vipaji vya ufundi kama wahunzi nk.
 
Yote uliyoongea sio sahihi,and here is why:

---Umeshindwa ku-attack hoja,umeishia kuongelea uzuri wa sura as if yeye ndio alichagua kujiumba vile?As if na wewe upo kwenye upper hand maana ulichagua sura nzuri somwhere?Umegeukia biology ambayo mwanadamu hana maamuzi nayo including wewe binafsi unajitia kujipa mamlaka ya kukosoa biology za watu

---Akiamua kuwasaidia wenzake wafanikiwe kwenye siasa nadhani ni uamuzi wake,sidhani kama wewe upo kwenye position ya ku-critisize uamuzi binafsi wa mtu..Kama wewe hutaki kusaidia mtu,basi ni wewe,yeye kaamua kusaidia,nadhani kila mtu abakie na uamuzi wake yeye binafsi

---Ni ajabu wewe kudhani kuingia kwenye siasa ni kufuata fedha...Kama idea yako kuingia kwenye siasa ni kujijengea pesa nadhani una very dangerous thinking....Kama unataka fedha kwanini usifanye biashara upate fedha nyingi na kwa wingi na kwa halali?....Mtu kuhitaji fedha ni uamuzi wake,huenda yeye hataki kama unavyotaka wewe!

---Yeye mwenyewe ndio anajua anachotaka kwenye siasa...Nadhani ni vizuri ukamuuliza akakupa jibu kwa mdomo wake,nachoona hapa umejigeuza "mtabiri" of which wewe sio prophet!
Eeenh, "Wyatt Mathewson", obviously you got mojo! Mwandiko wako ni 'deep', huyo uliyemjibu hataelewa.

This is one of the best responses I have read for a while in JF.
 
Ni mwenyekiti wa Bavicha Temeke
Basi naweza kukupa 'hint'.
Jiulize kwa nini yeye hakuwemo kwenye kundi la Halima. Inawezekana akawa na majibu juu ya maswali mengi tunayojiuliza bila majibu kuhusu usaliti aliofanya Halima.
 
Back
Top Bottom