Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

Wewe umepitwa na wakati ... hiyo ni ya zamani .. mwezi Februari, 2020 na wala si siri ni kwa ajili ya kuongezea kipande cha reli ya Morogoro-Makutupora.

Uwe hata unaangalia hata Tarehe basi.


Standard Chartered CEO Sanjay Rughani with Minister of Finance and Planning Hon. Phillip Mpango


Dar es Salaam, Tanzania - 13 February 2020: The Government of Tanzania Ministry of Finance, today signed a facility agreement with Standard Chartered Tanzania for a US$ 1.46 billion term loan financing to fund the construction of the Standard Gauge Railway (SGR) project from Dar es Salaam to Makutupora.​

cc: Abraham2020
 
 
Aaiiseee!
Wewe umekuja kivingine kabisa, na sijui kama atakuelewa vizuri.
Lengo zima la vitisho ni kuogopesha watu.
Mkuu 'Salary' kawa sehemu ya kuogopesha watu bila kujua.

Mkuu 'Salary' angeeleweka vizuri sana kama angewatahadharisha hao 'wasiojulikana', kwamba wakimgusa Hilda, wapenda haki hawatanyamaza, wataitangazia dunia nzima juu ya uhusika wao katika kumudhuru Hilda.

Linalotakiwa kufanywa na wapenda haki wote, na wapinga uonevu ni kuwa na umoja kati yao, kwamba yeyote akiguswa, hawatanyamaza. Watafanya kila liwezekanalo kutangazia ulimwengu juu ya uovu huo.
 
Hii nchi bwana inanikumbusha ule ukatili wa wakoloni wa kuwakata mikono watu wote wenye vipaji vya ufundi kama wahunzi nk.
 
Eeenh, "Wyatt Mathewson", obviously you got mojo! Mwandiko wako ni 'deep', huyo uliyemjibu hataelewa.

This is one of the best responses I have read for a while in JF.
 
Ni mwenyekiti wa Bavicha Temeke
Basi naweza kukupa 'hint'.
Jiulize kwa nini yeye hakuwemo kwenye kundi la Halima. Inawezekana akawa na majibu juu ya maswali mengi tunayojiuliza bila majibu kuhusu usaliti aliofanya Halima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…