Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Majina yaliandaliwa na dikteta Mahera akapewaKwahiyo mahera kaedit majina bila kuwasiliana na aliowaingiza?
Usipokuwa na haya basi wewe huwezi kujitofautisha na mnyama wa porini.Ameona haya tu huyo.,[emoji6][emoji16]
Hata ukiwa unafanya naye kazi huwa hayupo kihasaraHuyu dada CDM wamepata jembe
Namkubali sanaHata ukiwa unafanya naye kazi huwa hayupo kihasara
Ni sahihi.Usipokuwa na haya basi wewe huwezi kujitofautisha na mnyama wa porini
Upo sahihi sana ingawa ukigundulika na Lumumba wenzako utaitwa msaliti.Mwanasiasa wa kumuamini Tanzania bado hata bibi yake hajazaliwa
Hawa ndiyo waandishi wanao takiwa kwa sasa ili kuinusuru TanzaniaHuyu Dada namkubali sana.
Ulaya na Marekani kufanya nini?Sifa za kijinga zitampa umasikini.. wenzake wana connection na balozi ye anahangaika tu na Twitter utadhani itampeleka ulaya na marekani