Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

Mungu awape hekima na busara Mdee,Bulaya na wengineo waudhurie bungeni"Aaamin"
 
wewe jamaa ni mtu ajabu sana sasa ulikuwa unasherekea bunge la kijana wewe.
Ni heri vitimaalum wa CHADEMA waingie Bungeni,makamanda wakuu wakutoa miongozo kipindi hiki kigumu wanakimbilia ughaibuni.
 
Sifa ya Mungu ni kujibu maombi,hasa maombi mema.
Muheshimiwa Mdee na Muheshimiwa Bulaya ni watu makini sana,naamini wataingia bungeni.
Dhambi za dhulma zinawatesa sasa mnatamani mpaka Mungu ashiriki sehemu ya Dhambi zenu. Mshirikisheni kale kamungu kalichomwingiza Gwajima kwa Kura za wizi.
 
Dada nakupongeza sana kukumbatia haki kuliko fedha haramu za kulipwa kama mbunge wakati wenzako wanawinndwa kama swala
 
Kwani CCM wanamaslahi gani na Wabunge wa upinzania tena si lengo limetimia kuwa wawe wao tu huko mjengoni.....ili ndiyoooooooooooo iwe ya kutosha? sasa wanawatafuta wapinzania wa nini?
 
Ninavojua, aende; asiende, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lazima lifanye kazi yake ya kuwatumikia Watanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Kuzira kwa Wapinzani sio habari tena kwa Watanzania.
 
Huyu anatafuta kick kwenye mitandao,hana uhakika kama jina lake limo anaandika nini? Kujipaisha tu, anakaa Buza kwa Mpalange ndio akatae ubunge kwa njaa aliyonayo!
 
Bado unamwamini Lissu na beberu lake Amsterdam? Unamwamini Mbowe?
Lazima una matatizo kichwani.
Mwenye matatizo kichwani ni wewe unaye wazia tumbo lako leo na kuwasahau ndugu zako mamilioni kesho yao itakuwaje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi mkuu nilikwambia Lisu hafikishi 20% umeona sasa unavyopata tabu?
Tabu mnapata nyinyi ambao uovu mlio ufanya utawagharimu maisha yenu yoote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…