Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Jumuisha na hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wa ukae na radicals muda umeongezwa kati yenu.

Wa kwanza kuleta record mpya ndiye mshindi wa moja kwa moja.
Asande ndugu kamisaa, rekodi mpya ningeiweka jana ila sikupata access ya muda.

Ila naahidi, hadi kesho jioni MTANIAPISHA kuwa mimi ni bingwa wa madanali JF , hata mtaani pia. Wananiita KETE NGUMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asande ndugu kamisaa, rekodi mpya ningeiweka jana ila sikupata access ya muda.

Ila naahidi, hadi kesho jioni MTANIAPISHA kuwa mimi ni bingwa wa madanali JF , hata mtaani pia. Wananiita KETE NGUMU

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, tunaisubiri hiyo.

IFRS anaendelea kujifua, amefika 50 seconds.

Yeyote atakayepata chini ya 47 atatangazwa papo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…