Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamazoea mabaya sana.Kazi ya kumfunga Dalmax tuachie sisi, sasa hivi naona wataanza kunizuia kucheza naye, maana michezo 10 anafungwa 7 anapata draw 3.
Hamna kazi nyie
You're all jobless, irresponsible young boys it seems. A responsible adult man can't waste his time playing online games.
Mi natoaga draw kama nikiweka 15%. Huko kwenye 100% hapana.
Naona umepanicSawa
Naona umepanic
Mzee wa kufukua makaburiSawa
Mzee wa kufukua makaburi
Wana mikelele hao dah sina hamu na siku ya keshoNiko na hasira Man Utd wametufikia, yaani dah!
Mimi wakati nacheza nalo nilikuwa sifikirii hata sec5Watu mnajisifu mmelipasua mliowengi kwa sababu mmeweka asilia 100%, ila wengi kuna kitu mmesahau kuzingatia. Ukiweka hiyo 100% pia na ulipe muda wa kutosha wa hilo kufikiria, maximum sekunde 5 angalau hapo utajisifu bingwa, la sivyo unajidanganya mwenyewe. Unakuta wewe unafikiria sekunde 15 halafu hilo umelipa maximum sekunde 3 halafu unajiita bingwa! Halafu isitoshe una-undo! Mi nitakusifia tu kwamba ni mkali lakini sio bingwa kama hujazingatia hayo, kwa sababu hilo game hata uki-undo bado linakutoa jasho.