fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,255
- 3,889
Huyu mjedaInama halafu unakohoa ila nyie vitu vingine basi tu ndio vipimo vya kujiunga na jeshi hutaki usiende
Adabu ipi unayoitaka?Chunga mdomo wako.
Huna adabu
Nchi zipi?Kwa nchi nyingi za nje na ndani ya Africa
Machoko mtapata tabu sana.Choko hana nafasi jeshini (Afrika)
[emoji2][emoji2]wamemulikwa ka afande RamaKwahio wajeshi wote wamemulikwa
Kabisa aiseee.... Nliwaambia huo ujinga kwanza nianze kumpima mpimaji akagoma.... Nlitaka nimpime yeye nione anajisikiaje kisha nimkimbize haraka akalate maji na sabuni ninawe.... Mbwa wale...Ugonjwa gani utaangaliwa kalioo, mara ya mwisho walitujaribu ilikuwa ni kipindi cha tezi dume na walishindwa maana hakuna mtu alikubali kukaa ule mkao eti apimwe tezi dume .
Mna ukaribu sana? Anaweza anzisha valangati.Nimekaa na mwanangu mmoja mjeda hapa tunachek gem ya Uto,akawa anachungulia ninavyoperuzi JF, imekuja thread yako na yeye akawa anasoma soma aya kwa aya ghafla naona kasonya na amekua bize kucheki gem ya Uto nami ikabidi nizime data niamishe macho na mawazo kwenye gem japo natamani nimuulize bro ni kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahio wajeshi wote wamemulikwa
Ni Kawaida Tu Unashindwa Kuinama Kwa Wema, Haiguswi Lakini Inatazamwa Uimara Wake
Kwahiyo ilikubidi uwe mpole upime radius sio? Kwahiyo uanaume wako ushatetereka tyrHaha, umenikumbusha tukiwa mjibu, nilishindwa kuinama jamaa akanitandika kofi la mgongoni, nilipoinama akanambia kohoa huku anamlika tochi kali, ilikuwa kasheshe sana.
Halafu wajeda wenyewe mitaani wanajiona miamba kumbe wamechunguliwaNipo hapa hapa so nawapa angalizo mapema msije mkaja mmejaa upepo.
Nliambiwa jeshini lazima wapime ukubwa wa kipenyo au Radius. Nikauliza je kuna kitu kama x ray au ultra sound inatumika au anything kitaalam ukiacha njia hiyo maana sisi wengine migongo yetu imekakamaa hatuwezi inama.
Nikaambiwa hapana. Unainama kuna mtu anakucheck. Nikasema la hasha. Maisha yangu yote nikiwa nimepata akili hakuna aliyewahi nicheki eneo hilo hata kuliona tu haiwezekani. Kama ndo hivyo basi.
Sasa kila nikimwona mwanajeshi na askari namtizamaaaaaaa..... Nasema Hiii... Natikisa kichwa.