Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Hongera kwa kulijua...
Tuombe watuchangie maspika tu..
Maana naona mama Mchungaji ujae Unique Flower
Tuombe watuchangie maspika tu..
Maana naona mama Mchungaji ujae Unique Flower
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo babu sina shida nipo okay kabisaMjukuu jitahidi uende ukamsalimie mwenzako kabla tatizo halijawa kubwa(Nimeongea kiutu uzima hapa)
Ishi na watu vizuri huko mtaani na hapa jukwaani. Uwe mwaminifu, mcha Mungu na usiwe na mambo mengi.Namuomba Mungu stress za mapenzi zisinifikishe level hii....[emoji777]
Mkuu! Hizo ni requirements za kuarchieve nini?Ishi na watu vizuri huko mtaani na hapa jukwaani. Uwe mwaminifu, mcha Mungu na usiwe na mambo mengi.
Ndo kusema huna tofauti na kiwanda cha tofali?Sio nimekosa mtu ila naona mtu anakuoa kisa ameoa tu mke wawatoto sasa
Hapo sawa unaolewa kisa uitwe mke wa fulani sio hutimiziwi matumizi ila mtu anaile chefu anakuchefua na ukiangalia kuanza upya unatumia muda . Ukiwa na mchepuko lazima awe kama nuksi so inabidi ukae chillNdo kusema huna tofauti na kiwanda cha tofali?
Chizi akiiba nguo zako usimlimbize uchi. Wewe ndiye utakayeitwa chizi. Acha kumuongezea stress Maua. Muache aseme yaliyo moyoni mwake. Halafu kuna siku anaweza kukufaa. Kwa mfano angalia hapo kkt andiko lake huwezi kukosa hata kimoja Cha kukufaa ktk safari ya mahusiano.sawa endelea kukitembeza from shangarai to duka bovu
fyoko fyoko
Ahahaaaaa...! Jamani Jf...Kwan k imetanuka sana?
Unaniombea shida sana whysawa endelea kukitembeza from shangarai to duka bovu
fyoko fyoko
Mmmh...! Labda kwa mwingine.Usijikatie tamaa kipenzi, still uko na nafasi ya kubadilisha maisha yako
Nilikubali kufanya hivyoo mtu akaharibu jambo languUnique Flower anahitaji pipe ili akae vizuri. Nyege wakati mwingine zinafanya mwanamke awehuke. Nadhani wanaume wameelewa
Kuna watu humu wanashida kuliko za Maua sema tu hawasemi.Sina shida yeyote
Nisamehe bure.Unaniombea shida sana why
WanafichaKuna watu humu wanashida kuliko za Maua sema tu hawasemi.
Pole jiraniNahamu nikufungulie siri zangu ili unielewe wanaume wanatumia wanawake kupatia utajiri namimi ni muhanga nikawaza what nisingetoa utamu leo kofuli lingekuwepo na maisha ningekuwa nayo.
GoodOkay,, Kwani wewe saizi mahusiano yako unataka yawe ya namna gani?, Yani unahitaji Nini kwenye hayo mahusiano
Aisee 🤣Sijawahi kumpa mtu humu zaidi ya kizee kimoja tu
SiukweliAisee 🤣
Hiii mie siwezi kumtongoza meni kisa niniIngieni mtaani mtutongoze laa sivyo tunawasahau kabisa tunawafata under 21