Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

sawa endelea kukitembeza from shangarai to duka bovu

fyoko fyoko
Chizi akiiba nguo zako usimlimbize uchi. Wewe ndiye utakayeitwa chizi. Acha kumuongezea stress Maua. Muache aseme yaliyo moyoni mwake. Halafu kuna siku anaweza kukufaa. Kwa mfano angalia hapo kkt andiko lake huwezi kukosa hata kimoja Cha kukufaa ktk safari ya mahusiano.

Hii inanikumbusha jamaa anaitwa Pddy humu huwa hana hati au mpangilio mzuri wa maandishi. Lakini kuna siku aliandika mada ya kibiashara anayoifanya yeye mwenyewe ikavutia watu wengi sana humu.
No ill-will intended.
 
Back
Top Bottom