Ukisikia kuwa Tanzania inadharauliwa Afrika Mashariki kwa kuwa na wajinga wengi, basi wewe ni mmoja wa wajinga wenyewe.
Yaani umaamini kabisa mwaka 2020 kulikuwa na UCHAGUZI Tanzania? Watu walikwenda vituoni kuweka alama ya wino kwenye vidole.
Nani alimpigia kura Magufuli kwa wingi? Wacha uwongo wa mchana. Magufuli alimshinda Lowssa mwaka 2015 kwa wizi wa kura za kupitia kituo cha Masaki. Muulize Medestus Kapilimba, Kinana na Januari, wanajuwa walichofanya.
Mwaka 2020 aliamua kuziiba kura zote mwenyewe Magufuli kwa kutiki makaratasi kutokea Jamana Printers na Kambi ya Mbweni Kisha ma DSO na DED wakagawiwa makatasi yaliyopigwa. Zile kura tulizopiga wananchi hazikuhesabiwa kabisa.
Dhana ya kwamba Magufuli alikuwa anapendwa ni UWONGO, kadanganye wanao au wajinga wenzio