Mimi kwenye ubunge sina la kupinga ila mimi nimesimamia kwenye urais 2020 kwa uzoefu wangu na tathimini niliyofanya Magufuli kivyovyote ashindi kwake ni halali kutokana na wagombea wote wa upinzani kukosa ushawahi wakati ushawahi wa Magu upo juu hata sasa na hilo Balina ubishi.
Humu Jf na mitandaoni kulimponza Membe na kujiona ana wafuasi ila uchaguzi ukitoa picha hata mikutano yake watu 100 hawafiki na hata mtaani watu hawana habari nae mimi natoa picha halisi za kitaa ndiko kwenye kundi kubwa la wapiga kura.
Huku hawajui habari za utekaji ,ripoti za CAG nk watu wana vigezo vyao vya kitofauti.
View attachment 2359642