Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

Tatizo lako shule inakusumbua.

Akili zako zinategemea tumbo. Badala ya tumbo kutegenea akili.
 
Ukipata muda pita Mirembe Hospital ukapime Afya ya akili. Unakubali kuwa wabunge wengi wapo kimchongo, na unasahau kuwa huo mchongo ulichongwa na Magufuli?? Wewe ni mzima kweli upstairs?
 
Naunga mkono hoja. Ni kweli kabisa.
Kwa sasa hali ni tete. Wasiolalamika ni wale walamba asali tu.
Kwa kifupi, Nchi imeshatekwa na GENGE la WAHUNI.
 
Tatizo lako shule inakusumbua.

Akili zako zinategemea tumbo. Badala ya tumbo kutegenea akili.
Nina elimu ya Masters, nimefunfisha college watu kama wewe na nilishakuwa na mdaraka makubwa tu Serikalini.

Ninamiliki uchumi ambao hata wewe the burning spear ninaweza kukuachisha unachofanya na kukulipa mshahara uliokuwa unapata bila kunifanyia kazi yeyote
 
Kwamba bila mabaya ya mwingine mazuri yake yanakosa miguu ya kujisimamia? Kwa attitude hii mtaturuhusu tuwe na nchi bora zaidi siku moja au legacy ni muhimu zaidi?
 
Basi utakuwa na masters ya ujinga.
Certificate is just peace of paper. What comes out head is a real education.
 
Ukipata muda pita Mirembe Hospital ukapime Afya ya akili. Unakubali kuwa wabunge wengi wapo kimchongo, na unasahau kuwa huo mchongo ulichongwa na Magufuli?? Wewe ni mzima kweli upstairs?
Mimi kwenye ubunge sina la kupinga ila mimi nimesimamia kwenye urais 2020 kwa uzoefu wangu na tathimini niliyofanya Magufuli kivyovyote ashindi kwake ni halali kutokana na wagombea wote wa upinzani kukosa ushawahi wakati ushawahi wa Magu upo juu hata sasa na hilo Balina ubishi.

Humu Jf na mitandaoni kulimponza Membe na kujiona ana wafuasi ila uchaguzi ukitoa picha hata mikutano yake watu 100 hawafiki na hata mtaani watu hawana habari nae mimi natoa picha halisi za kitaa ndiko kwenye kundi kubwa la wapiga kura.

Huku hawajui habari za utekaji ,ripoti za CAG nk watu wana vigezo vyao vya kitofauti.
 
Basi utakuwa na masters ya ujinga.
Certificate is just peace of paper. What comes out head is a real education.
Mithali 26:4 Usibishane na mpumbavu sawa na upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye ....

I log off
 
Point zenu ni za kumezeshwa tu aliiba nn hasa sasa huyu bi kidude kafanya nn hasa zaidi ya kushiriki na dj na walambaji wengine Kula nchi
 
Kadri ya unavyozidi kuandika ndiyo unavyodhihirisha UZEZETA wako. Yaani Kauli kwa Ma DED kutishiwa kumtangaza mshindi wa upinzani aliyotoa Magufuli huisikia? Au hukusikia idadi ya wagombea wa upinzani walivyokuwa DISQUALIFIED kwenye kujaza forms huku CCM wote wakipita un opposed?

Unamuongelea Membe wakati mpinzani mkubwa wa 2020 alikuwa Tundu Lissu. Wewe hili siyo jukwaa lako. Ondoka nenda Mhusiano na mapenzi.

Mbona watu wengine vichwa vyenu vigumu?
 
Tundu Lisu 2020 ushawishi wake ulikuwa mdogo sana ukicompare na Lowassa ilivyokuwa 2015.
 
We mafisadi unawatambuaje? wale walikuwa watanzania tena walikuwa wametapakaa nchi nzima, siyo Mbeya, Arusha, Dar.
 
Bora ya yoote hayo, kuliko kuisha kwa hofu ya kutekwa nakupigwa risasi au kupewa case
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…