Hili jina limenishinda kutamka

Senge-Singida
Hilo ni jina la Mtemi maarufu wa Wanyaturu huko Singida akiitwa Mtemi Senge.

Mtemi Senge alikuwa maarufu sana hususan kwa uwindaji na kuwajuwa wanyama. Tunahadithiwa kuwa watu waliamini anaweza kusikia lugha za wanyama jinsi alivyowafahamu. Hadithi zingine zinasema simba wa porini, sio wa kufuga, wakimuona wanakuwa kama mbwa kwa boss wao, wanaufyata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…