tunahamia dodoma
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 119
- 81
Acha uongo shemeji. Nyashimo iko wilaya ya Busega na ndiyo makao makuu ya Wilaya. Na ni mkoa wa Simiyu siyo mkoa wa MARANyamshimo..........musoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo shemeji. Nyashimo iko wilaya ya Busega na ndiyo makao makuu ya Wilaya. Na ni mkoa wa Simiyu siyo mkoa wa MARANyamshimo..........musoma
Mm nakumbuka kwetu kuna mzeee anaitwa mbeoKuna sehemu kuna mto, kama yupo anaekufahamu huo unaitwa MTO MBEO
😂😂Kati ya lindi na ikwiriri kuna sehemu maarufu panaitwa mkundusimali.
Moshi hakuna kibororoni ile ina KiboriloniRombo, Kiboro, Moshi Kibororoni, Arusha, Chuga
Kati ya lindi na ikwiriri kuna sehemu maarufu panaitwa mkundusimali.
Hilo ni jina la Mtemi maarufu wa Wanyaturu huko Singida akiitwa Mtemi Senge.Senge-Singida
HahahahaMtombaji-moro
Kiboje-zanzibar
Senge-Singida, miaka ya 90 wakati Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa rais aliwahi kwenda na kuhutubia mkutano, akaanza na kusema wananchi wasenge oyeee[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]