Hili jina limenishinda kutamka

Hili jina limenishinda kutamka

Na haya majina mwembe Zenji ndio hatari[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1. Mwembe beni
2. Mwemne mimba
3. Mwembe tayari
4. Mwembe hatari
5. Mwembe ladu
6. Mwembe mchomeke
7. Mwembe makumbi
8. Mwembe madema
9. Mwembe ki.papuchi
10. Mwembe togwa
11. Mwembe mdogo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
umesahau mwembedezo
 
Senge-Singida
Dah umenikumbusha enzi za umisetta.....wanafunzi waliokuwa wanasoma Senge sec walikuwa wanapata sana shida.......wakati wakuitwa sasa loh. ......mechi ya jioni itakuwa kati ya wanafunzi wa Ikungi na wanafunzi wa Senge[emoji23] [emoji23]
 
Na haya majina asili yake ni nini haswa, maaana kwa kweli kuna sehemu mpka unapata woga mtu akikutambulisha/kukaribisha hasa mikoa hiyo ya juuu ndio wana majina ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom