Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.

Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Insmaashiria wanaoamini mambo ya Giza kama wewe mtoa wapo,na hii ikimaanisha WAJINGA ni wengi mno
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Badilisha jina ujiite Hermantheweak
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Sidhani kama alikuwa anamaanisha kweli mambo tu ya kiki zake tu ili siku ziende.

ila kama alimanisha kweli basi acha nikubali tu Mungu umpa ampendae na sio mwenye akili.
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Watu sisi hatujajua kwamba kuna stage ukifika unakuja kujua kwamba kumbe kun mmbo yanwezekana.

Kuna hatua fulani ukipiga katika maisha unakuja kugundua kwamba kumbe kilichokuwa kinanikwamisha kufikia hapa ni mimi mwenyewe kuogopa kufika hapa.

Kitendo cha kujua kwamba hapa nilipofika niliwahi kufikiria zamani kwamba nitafikia na kweli nomefikia,sasa kwa nini ninauoyawazia sasa hivi yasitokee hapo baadae wakati niliyoyawazia wakati wa zamani yameshatokea sasa hivi ?

Yaani kama yanayotokea sasa hivi niliwahi kuyawazia zamani,kwa nini nitakayoyawazia sasa hivi yasitokee baadae ?

Kama ni yuleyule mmoja ambaye amefanya niliyowaza zamani yakatokea sasa hivi bas ndio huyo huyo ambaye atafanya ninayowaza sasa hivi yatokee baadae.

Hiyo naweza kuiita ni Ujasiri unaotokana na matokeo uliyoyapata,na ujasiri huo unakuongezea imani ya kuamini kwamba unayoyataka sasa hivi yanaweza kuja kutokea baadae vilevile.

Sasa diamond ameshafikia hizo level tayari,yaani Diamond kuna vitu alikuwa anawazaga zamani kabla hajatoboa sasa hivyo vitu vimeshatokea tayari katika maisha yake,so hiyo inampa sana NGUVU NA IMANI THABITI KEAMBA KUMBE YALE ANAYOYAWAZA NA KUYATAMANI NA AKAWEKA MIKAKATI YATATOKEA.

Watu wengi hapa watampinga diampnd ila kiukweli diamond ameshapata ile nguvu ya imani na ujasiri kwa sababu kuna hiyo siri ameshaijua kwamba ukitakacho kinskuea endapo utaweka mikakti ys kukifikia.

If you can ee it in your mind,you can hold it on your hand- diamond ameshaona utajiri kwenye mind yake na huo utajiri ataumiliki mikononi mwake.

Hivi kwa nini ukifumba macho na ukavuta taswira ya simba unamuona akilini ? Unadhani yule unayemuona akilini ni simba feki ama ni simba mwenyewe ?

Je ksma ukifumba macho unaweza kumuona simba original hata kama macho hayaoni,unadhani ukifumba macho na kuwaza na ukajiona wewe ni tajiri unayemiliki vitu vingi kstika akili eti hilo ni jambo feki ?

Hapana mawazo ni vitu original kabisa kwani mawazo yanaonekana sema tu hatupay atttention katika kuyaona.

Ukiwaza unataka kwenda beach kuogelea lazima ulishaona bahari na ukajiona unaogelea wewe mwenyewe,so hayo ni mawazo.

Mawazo ni maono ambayo yatakuja kuwa kweli pale tu utakapoweka mipango ya kufikia maono hayo.

Diamond asibezwe kuna kitu anakijua kuhusu haya maisha na sisi ni vyema tukajifunza kwake.
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Ukija kuelewa neno "Motivational speaker" Ndo utaelewa kauli ya Mwamba
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa.
Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.
View attachment 3088515
Hapa duniani zawadi inayotokana na majaaliwa ya Mungu ni mtoto pekee, lkn vingine vyote ni jitihada za mwenye kujibidisha.
 
Kuna kiwango cha ndoto. Tufikie hatua tuwe wa kweli tuache kujazana ujinga. Suala la Diamond kusema anataka kuwa Tajiri namba moja Duniani inaonesha hana uelewa. Elimu yake ndogo.... Hilo haliwezekanani hadi Kiama. HALITATOKEA.

NI SAWA NA lukas Mwanamshamba aseme ana ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania au Africa. Halafu mkaaanza kumsifia.... Ni kuonesha wote ni wendawazimu. Hamjielewi.

Utajiri wa kwanza kwa wanamuziki Tanzania. Yes possible kabisa huo ndo uwezo wake. Kwa Afrika wanamuziki. Yes anaweza amua na kupambana. Duniani? NO.

Hawa watu kabla hawajaongea wapewe darasa kwanza. Wasiropoke ujinga. Wakaonekana vilaza na kituko.

JUMATATU NJEMA.
 
Back
Top Bottom