Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Mshikaji anajisifia sana Hela asee. Mara anajifananisha na wanigeria. Duh kama vile inashangaza flani hivi. Hivi Mshikaji hajui hata top 2000 ya matajiri Bongo pengine hayupo?
Nb.
Uhuru wa ndoto upo but pia ukianza kujihisi dhaifu dhidi ya waliokuzidi utaanza kujifananisha nao. Mshikaji kujifananisha na wanajua ni kwasababu anajua he is too inferior to them.
Aghalabu si rahisi kusikia mnija anajifananisha Hela na mbongo coz levo zao wengi ni za juu zaidi.
 
Y Kuweni na akili hata kidogo nchi masikini
Anaweza mkuu , miongo kazaa aliopita wakati anaokota vyuma chakavu tandale angekwambia atakuja kua msanii mkubwa Afrika ungesema anakufuru
Kuweni na akili hata kidogo basi nchi masikini kama tanzania na yenye uchumi mdogo hivi haiwezi toa tajiri namba moja duniani halafu huyo dogo anajidanganya yeye ni mwanamuziki mwenye hela tanzania siyo tajiri namba moja muamsheni atajikojolea
 
Yaani hadi vya kuota sasa hivi tunapangiana🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Hebu muacheni kaks dai na ndoto yake.
 
Ndo walajicha walivyomdanganya?
Kina Didy na pesa zao zote kwa miaka nenda rudi lakini hata kwa Mo hawatoboi afu huyo Mo hata Top 1000 hayumo sasa🤣

Mwangalieni hutu simba anataka kuvamia mawingu muda si wake.
Teja huyo anajiongelea tu
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.

Diamond anataka umzungumzie tu, na katika hilo kafanikiwa.
 
Watu wa ulimwengu wa giza njooni hapa mtoe maoni yenu.

Ukuaji wa diamond kutoka zero hadi hapo alipo umekuwa wa kasi isiyotegemewa. Amezungumza akiwa anajiamini sana kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani, hawezi kuwa na uhakika kiasi hiki bila kuwa na maagano ya siri.

Akifumba macho anaiona future yake.. Sote huwa tunayokewa na hiyo hali lakini hatuzingatii.. Unaona kiza mwanga nk
 
Mshikaji anajisifia sana Hela asee. Mara anajifananisha na wanigeria. Duh kama vile inashangaza flani hivi. Hivi Mshikaji hajui hata top 2000 ya matajiri Bongo pengine hayupo?
Nb.
Uhuru wa ndoto upo but pia ukianza kujihisi dhaifu dhidi ya waliokuzidi utaanza kujifananisha nao. Mshikaji kujifananisha na wanajua ni kwasababu anajua he is too inferior to them.
Aghalabu si rahisi kusikia mnija anajifananisha Hela na mbongo coz levo zao wengi ni za juu zaidi.

jamaa anasumbuliwa na inferiority complex, na ndio mana always yupo kwenye kutafuta attention za kujisifia utajiri.
 
Back
Top Bottom