Kuna kiwango cha ndoto. Tufikie hatua tuwe wa kweli tuache kujazana ujinga. Suala la Diamond kusema anataka kuwa Tajiri namba moja Duniani inaonesha hana uelewa. Elimu yake ndogo.... Hilo haliwezekanani hadi Kiama. HALITATOKEA.
NI SAWA NA lukas Mwanamshamba aseme ana ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania au Africa. Halafu mkaaanza kumsifia.... Ni kuonesha wote ni wendawazimu. Hamjielewi.
Utajiri wa kwanza kwa wanamuziki Tanzania. Yes possible kabisa huo ndo uwezo wake. Kwa Afrika wanamuziki. Yes anaweza amua na kupambana. Duniani? NO.
Hawa watu kabla hawajaongea wapewe darasa kwanza. Wasiropoke ujinga. Wakaonekana vilaza na kituko.
JUMATATU NJEMA.