Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Wewe unaota kuwa tajiri wa ngapi?
 
Hahahahaaa, Mond ni genius.

Lengo lake ni kumake headline, ndicho ulichofanya wewe hapa.
 
Kazaa ❌ Kadhaa ✅
Mkuu unajua hadi mtu awe tajiri namba moja inatakiwa iweje? Ndoto zingine ni upuuzi kuzitamka hadharani.
Lbda ungepata nafasi ya kumuuliza atatimizaje ndoto yake ,unaweza kukuta wewe ni mwalimu wa sarufi za kiswahili lakini hujawahi hata kuota kua mwalimu wa darasa unaona ni too much of a dream sasa mtu akikwambia ndoto zake ni lazima uzione nyevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…