Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Mshikaji anajisifia sana Hela asee. Mara anajifananisha na wanigeria. Duh kama vile inashangaza flani hivi. Hivi Mshikaji hajui hata top 2000 ya matajiri Bongo pengine hayupo?
Nb.
Uhuru wa ndoto upo but pia ukianza kujihisi dhaifu dhidi ya waliokuzidi utaanza kujifananisha nao. Mshikaji kujifananisha na wanajua ni kwasababu anajua he is too inferior to them.
Aghalabu si rahisi kusikia mnija anajifananisha Hela na mbongo coz levo zao wengi ni za juu zaidi.
 
 
Yaani hadi vya kuota sasa hivi tunapangianašŸ™†ā€ā™€ļøšŸ™†ā€ā™€ļøšŸ™†ā€ā™€ļø
Hebu muacheni kaks dai na ndoto yake.
 
Ndo walajicha walivyomdanganya?
Kina Didy na pesa zao zote kwa miaka nenda rudi lakini hata kwa Mo hawatoboi afu huyo Mo hata Top 1000 hayumo sasa🤣

Mwangalieni hutu simba anataka kuvamia mawingu muda si wake.
Teja huyo anajiongelea tu
 
Diamond anataka umzungumzie tu, na katika hilo kafanikiwa.
 
Akifumba macho anaiona future yake.. Sote huwa tunayokewa na hiyo hali lakini hatuzingatii.. Unaona kiza mwanga nk
 

jamaa anasumbuliwa na inferiority complex, na ndio mana always yupo kwenye kutafuta attention za kujisifia utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…