Hili la Diamond kujihakikishia kuwa atakuwa tajiri namba moja duniani linaashiria nini katika ulimwengu wa giza?

Uzi kama huu bila kauli ya professional wa hizi kazi Mh Rakims basi hakuna tutakachoambulia zaidi ya dhahania tu.
 
Hapo anajisemea TU Ili watu wamfanye mada ktk mazungumzo yao na ktk mitandao ya kijamii kama hivi
 
Apambane kwanza na MO au gsm.
tunaruhusiwa kuota ndoto ila ndoto nyingine ni vichekesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…