Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

Alipokwenda India kwa matibabu mwaka juzi alituaga?
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
 
Yupo kongwa anawapanga wagogo 25 wampe ulaji
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
Chuki zenu kwake zinajulikana.
 
Mtu Anatetea Afya Yake, Nyakati Mbaya Hizi
 
Anakula pesheni huyo ebu ibua changamoto zingine zinazowakabili watz achan nae huyo ambaye hakujua lisu yupo wp mpk akamvua ubunge
 
Wanasemaga " a problem is not a problem but how you respond to the problem that is a problem !! Akili huwa inakataa matokeo, lakini ukiilazimisha ikubali matokeo mambo yanakuwa okay !! Maneno huwa na nguvu siku tatu tu ! Baada ya hapo ni business as usual !! Hakuna jambo geni duniani !!
 
Anakula bata! Marupurupu yake unadhani hata anajali kurudi bungeni kama mbunge? Anangoja aripotiwe kuwa hahudhurii bungeni asimamishwe ubunge na ajilumbukizee marupurupu yake zaidi.
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
Waache kumzonga mstaafu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…