Kwani huna habari kwamba Al Shabab wamewahi kuivamia Uganda kwa sababu walipeleka jeshi lao Somalia?Mbona hao Alshababs wasishambulie Uganda au hata Ethiopia waliopo karibu nao kwasababu walipeleka majeshi Somalia?.
Tatizo hapa ni kwamba, Inawezekanaje adui wa nje ya nchi anaweza kuingia na kutoka katika nchi yenu Kama apendavyo, kazi ya jeshi ni ipi Kama sio kudhibiti mipaka ya nchi, au katika hili unakiri kwamba Alshababs wamelizidi ujanja jeshi lenu?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna siku Al Shabab imewahi kuivamia Tanzania. Wale vijana wa kibiti sio Al Shabab. Wale magaidi wa Mtwara sio Al Shabab.Kwa kauli hii, rasmi alshabab wataendelea kuipiga Kenya kwa kadiri watakavyo.
Sisi wanatujua ndiyo maana wametulia. Wewe unafikiri hawajawahi kututest, halafu wakachezeshwa kwata na jaramba.
Tutawatumia special forces ya Kenya. Wao hawana haja na vitu vidogo kama chakula. Nyie jeshi lenu lina kitengo cha special forces kweli? Au special forces yenu ni wale wavunja matofali kwa mikono mikavu wakati wa tamasha la kitaifa?Jeshi la kenya ukiwa na maarifa unalichakaza balaa. Mbinu rahisi tu, ukitaka kuwanasa wee warushie maboflo. Wanatupa silaha wanaanza kugombaniana maboflo. Ndiyo maana pale westgate walihangaishwa sana, maana hakuna aliyekuwa anafikiria kudhibiti alshabab, bali walifikiria namna gani waibe mali supermarket na kula mikate.
😝 😁 😄🤣
Tutawatumia special forces ya Kenya. Wao hawana haja na vitu vidogo kama chakula. Nyie jeshi lenu lina kitengo cha special forces kweli? Au special forces yenu ni wale wavunja matofali kwa mikono mikavu wakati wa tamasha la kitaifa?
Hakuna siku Al Shabab imewahi kuivamia Tanzania. Wale vijana wa kibiti sio Al Shabab. Wale magaidi wa Mtwara sio Al Shabab.
Cc joto la jiwe
Askari wao wa kdf wakaishia kuiba mikate na sharubatiMmeshindwa kuwanyoosha al shabab wahuni mtaiweza Tanzania?
Umesahau alshabab walivyokushughulikieni westgate mall?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie wazee wa maboflo, si mlikuwa mnajigamba kwamba mlipeleka special forces westgate, halafu wakaishia kugombaniana maboflo!!?
[emoji13] [emoji1787][emoji1]
Mara Moja tu, tena lilikua ni tukio la kigaidi, hawakwenda na silaha Wala sare za jeshi na kuteka watu au gari, toka siku hiyo wamedhibitiwa hawajarudi tena, Sasa hapo kwenu wamejenga makazi ya kudumu huko Boni forest, hii inaonyesha udhahifu mkubwa Sana, kwanini wasiingie Ethiopia?Kwani huna habari kwamba Al Shabab wamewahi kuivamia Uganda kwa sababu walipeleka jeshi lao Somalia?
Aibu na fedheha kubwa kwa mipaka ya nchi kuchezewa kiasi hiki. Ninakuhakikishia KDF haiwezi kuwashinda M23, wale Wana silaha Bora zaidi ya AlshababHakuna siku Al Shabab imewahi kuivamia Tanzania. Wale vijana wa kibiti sio Al Shabab. Wale magaidi wa Mtwara sio Al Shabab.
Cc joto la jiwe
Hujui unachosema wewe. Kwamba M23 wana silaha gani ambayo imeizidi suicide bombers,IED na VBED? Nikusaidie tu IED ina maana ya improvised explosive device. VDED ina maana ya vehicle bourne explosive device. Hizi ndio silaha za Al Shabab. Na pia wanatumia silaha za kawaida kama grenade, rpg na machine guns. M23 ni ujinga mtupu mbele ya Al Shabab.Aibu na fedheha kubwa kwa mipaka ya nchi kuchezewa kiasi hiki. Ninakuhakikishia KDF haiwezi kuwashinda M23, wale Wana silaha Bora zaidi ya Alshabab
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapo Kenya wanawachezea mkuu, siwaombeagi mabaya, nina relatives huko.Kwani huna habari kwamba Al Shabab wamewahi kuivamia Uganda kwa sababu walipeleka jeshi lao Somalia?
Hatujawachukulia poa. Asante kwa mawaidhaHapo Kenya wanawachezea mkuu, siwaombeagi mabaya, nina relatives huko.
Ila hilo tukio la kupiga lecture basi for hours, ni la kibabe sana mzee. Msilichukulie poa. Those are calm evolved matured and calculated terrorists. Msije relax mkijua problem's solved. The problem might be quadrapling
Kama vijana wa kisomali wanawanajisi wanajeshi wenu mtawezana na JWTZ?Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Lakini walidhibitiwaKwani huna habari kwamba Al Shabab wamewahi kuivamia Uganda kwa sababu walipeleka jeshi lao Somalia?
Kwani hizo suiced bombs SI ni mpaka awakaribie, kwanini KDF wanashindwa kuwazuia Alshababu ili wasiwakaribie?. M23 wapo na Artillery zenye kufika umbali wa 20Km, wanavyo vifaa vizuri vya mawasiliano na silaha za kisasa Sana toka Rwanda, KDF can't defeate them, I am very sure, Uganda army is much stronger than stupid KDF.Hujui unachosema wewe. Kwamba M23 wana silaha gani ambayo imeizidi suicide bombers,IED na VBED? Nikusaidie tu IED ina maana ya improvised explosive device. VDED ina maana ya vehicle bourne explosive device. Hizi ndio silaha za Al Shabab. Na pia wanatumia silaha za kawaida kama grenade, rpg na machine guns. M23 ni ujinga mtupu mbele ya Al Shabab.
You are just lucky that Tanzania currently have no internal or external security threats . Otherwise from the video you soldiers are poorly equipped .I wonder how much ground the platoon would cover .MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hilo vibe wanalofanya JWTZ hapo ndivyo alshabab uwa wanafanya ndani ya ardhi ya kenyaMY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Duh!...Tutawatumia special forces ya Kenya. Wao hawana haja na vitu vidogo kama chakula. Nyie jeshi lenu lina kitengo cha special forces kweli? Au special forces yenu ni wale wavunja matofali kwa mikono mikavu wakati wa tamasha la kitaifa?
Good comparison the only part you got wrong is ,'ndani ya ardhi ya kenya'Hilo vibe wanalofanya JWTZ hapo ndivyo alshabab uwa wanafanya ndani ya ardhi ya kenya