Hili la JWTZ kumiliki maeneo ya mipakani ndilo, KDF ilipaswa kuja kujifunza

You are just lucky that Tanzania currently have no internal or external security threats . Otherwise from the video you soldiers are poorly equipped .I wonder how much ground the platoon would cover .
Hahahaha, lini KDF watapata silaha za kisasa Kama hizi?



We are not lucky but strong and smart, Mozambique and DRC are our neighbours who are struggling with terrorism and civil war, why not Tanzania?, they tried to attack us, what happened to them?. KDF is very weak army.

Onyesha nchi yoyote hapa Afrika mashariki yenye kumiliki vifaa vya kisasa Kama hivi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala wa kishabiki huu. Sasa silaha gani zimeonyeshwa hapo kwenye hiyo video, sijui nitumie neno ancient
Wewe unataka kuona silaha au mazoezi?, Maonyesho ya silaha zote kwa wakati mmoja ufanyika kwenye sherehe za kitaifa sio porini


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kubali tu kwamba silaha ambazo wanajeshi wenu wanatumia yameoza. Sio lazima upinge kila kitu.
Hahahaha, wanaume hao, check J-7 in action, wakenya hamuwezi gusa huo moto

Hivi ulishawahi kuona vifaru vinavyotembea juu ya maji na ardhini?, Msiguse huu moto sio level yenu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unakuaga mjinga kweli 😂 😂 😂 😂 😂, yaani wewe ni kumbafu sana ki fikra😂😂😂 , Al Shabaab is bordeless coz it is an ideology, based on extreme Islamic beliefs , so ukiona Alshabaab in Kenya ni wakenya sana sana, ata hapo Dar wako sana kama hauna taarifa., ila hawawezi kukunya kwa sahani wanao kulia, if u know u know.
 
Why are you changing the goal post and resorting to posting different videos?
 
Hahahaha, wanaume hao, check J-7 in action, wakenya hamuwezi gusa huo moto

Hivi ulishawahi kuona vifaru vinavyotembea juu ya maji na ardhini?, Msiguse huu moto sio level yenu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
From the videos posted your Frontline defenders have no body armour ,no protected mobility,no force multipliers,no tactical communication radios they are just like any other militia save for a few MLRS and artillery.... they will suffer heavy casualties if not getting completely destroyed in this era of maneuver warfare.
 

Tanzania special forces alongside regular Kenyan forces in the DRC
 
We kweli huna hata moja ulijualo.Unafikiri Al Shaabab na magaidi hawajawahi kujaribu kuingia Tanzania?

Mwaka 2020 wakati Uganda na ninyi mnasambuliwa kwa mabovu US embassy in Dar iliitonya Tanzania kuwa iko hatarini kushambuliwa na ikawapa tahadhari kubwa raia wake waishio Tanzania. Intelligence yetu ikasema inajua kila kitu kabla hata US haijatoa alert. Cha ajabu wale watu waliishia kushambulia Uganda tu na hapo kwenu.
 
Tanzania imetuma hadi Lebanon huko , siku tunajenga nchi yetu . Hao waasi sijui M23 na alshabab wanaijua Tanzania ni nani kwenye medani . Sio nyie wanajeshi walikua wanaiba pipi Westgate
 
Hizo missiles zinafika 50 km kweli ?
T14 Armata
 
Una maana gani?
Unafahamu sare za TPDF?
Tanzanian brigadier general Stevens Mnkande current commander foreign intervention brigade alongside south African,Nepal and Kenyan troops .(you can easily pick out the Tanzanian uniform)
 
Hizo ni jamii ya Buk missile kama ile iliyopiga ndege ya Malaysia nchini Ukraine miaka michache iliyopita. Variants zake zina range chini ya 50 km ni chache sana modern ndio zinafika 50km.

Ni low to medium range
Propaganda max flight altitude. 14,000 metres (46,000 ft)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…