joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #81
Inaonekana huna uelewa wowote kuhusu silaha za kijeshi, jaribu kujifunza ABC za silaha za kivita kwanzaKujisifu una passo 2nd generation ni bora prado 1st generation...j7 ni toleo la tatu kwenye ndege zipi..je mataifa makubwa wanatumia ..
Acha uongo Kuna Majeshi yetu hukoUnaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Inaonekana huna uelewa wowote kuhusu silaha za kijeshi, jaribu kujifunza ABC za silaha za kivita kwanza
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alsahabab Ni wahuni mtaani mmewashida mtatuweza?Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Wewe ni chizi wacha kujidhalilisha, ingia Google soma kuhusu J-7, ndege za 3rd generation unasema ni ndege za zamani, onyesha ni nchi gani Afrika yenye 4th generation jet fighters, how Kenya bado wapo na 2nd generation f-5 fighter jets na bado wanapiga kelele kuwa na jeshi imara, Kama hujui kitu Bora unyamaze
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
F5 has a service ceiling of about 50,000FT (15.24km)Yani hapo unajiona umeandika. Unajua maana ya attitude na range? Ungejua tofauti yake usingejichoresha hapa. Ikiwa na max. altitude hiyo kwahiyo ndege ziifuate pale ilipo ndipo izishambulie?
Altitude ni umbali kutoka chini kwenda juu, range ni umbali kutoka ilipo kwenda eneo jingine. Range ya Buk missile max. yake ni 50km. Na hata hiyo altitude yake ni ndogo kwa silaha za sasa, hizo ni 14km angani wakati ndege nyingi tu zinaenda more than 18km altitude. Tukianza na Ugandan Su-30
Kenyan special forces always standout from the others due to their top tier kittingGoli ushahamisha kirahisi hivyo tu!
Ulichopost ni hii picha.
Tangu lini sare za jeshi la Congo zikawa za TPDF?
View attachment 2284151
Hapa uliandika nini?
Huu ujinga wa kupotosha huwa ni topic kwenye masomo yenu nadhani!
Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Sawa silaha zetu ni za kizamani ila wanajeshi wetu hawaibi biskuti na mikate kwenye uokoziNunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Experienced pilots?, Wapi wamepigana?. Experience inatokana na kupigana vita mara nyingi na kwa muda mrefu, wapi KDF imepigana vit.F5 has a service ceiling of about 50,000FT (15.24km)
AN/APG-66 radar that is also found in older F-16s,
AGM 65 marvericks also used by the likes of F16s and F15s
Can carry more weight (more ordnance) than a J7.
Superior air to air missiles with longer ranges.
The only part a J7 beats an F5 is on the speed and range otherwise F5 is a formidable fighter that's why it's used by the US navy as an aggressor
squadron against F 16s.... furthermore we have very experienced pilots who have clocked more than 1500 hrs in them .I would like to know the experience your fighter pilots have .
Wacha kutafuta sababu nyingi, KDF is very weak army that's why Alshabab cross in and out the country as they wishFinally ,check out Tanzanias land Borders despite being neighbour with largely peaceful countries, you even have natural features e.g lakes rivers etc working for you.
For the southern border with Mozambique only the small part in mtwara bordering cabo degaldo province has issues .
You are lucky ISIS has not yet gained footing in Mozambique or declared jihad on Tanzania that's when you know terrorism is borderless..Sleeper cells and sympathisers deep inside Tz will awaken .Since it's common knowledge they are already there.View attachment 2294672View attachment 2294673
Wacha maneno mengi, imarisheni jeshi lenu Kama walivyofanya Uganda na Rwanda ili Alshababs waogope kuwachezeaFor further context M23 are based in North Kivu province, fighting government forces in the Rutshuru and Masisi territories.i don't think they are a current or future security threat to Tanzania since they aren't interested.View attachment 2294677
Don't just throw around words F 5 can comfortably hold ground against any J7 , mig 23 or even 21Experienced pilots?, Wapi wamepigana?. Experience inatokana na kupigana vita mara nyingi na kwa muda mrefu, wapi KDF imepigana vit.
In terms of experience, KDF is the least experienced army in this region. About Tanzania, it needs no explanations, from Mozambique, Zimbabwe, Angola, Sychelles to Uganda, and currently in Mozambique.
It is only a stupid person can compare 2nd generation and 3rd generation fighter jets. Go and read the differences between the two. The biggest difference is that, 3rd generation has the capability of carrying lesser guided missiles while 2rd generation can't.
Never again compare 2rd and 3rd generations fighter jets, they are at difference classes
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
For your information Tanzania borders are very porus and huge areas are not patrolled .Wacha kutafuta sababu nyingi, KDF is very weak army that's why Alshabab cross in and out the country as they wish
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Punguza ujinga wewe, fighter jets sio ndege za kawaida ambazo utapima kwa masaa mengi ya kuruka angani, kinachopimwa ni uwezo wa pilot katika kulenga ground targets, na uwezo wa kukwepa missiles zinazolengwa kwake, ambayo yote hayo hutegemea na idadi ya vita huyo rubani alishiriki, Kama rubani hajashiriki vita yoyote, huyo Hana uzoefu wowote.Don't just throw around words F 5 can comfortably hold ground against any J7 , mig 23 or even 21
If J7 has Lasser guided missiles then our F 5 have infrared homming missiles and radar guidance system.which basically perform the same job only different technologies.
Pilots expirience is measured by what is known as flight hrs .Kenyas first F5 pilots to clock 1000hrs did so decades ago .
Talking of fighter generations ,an F 4 phantom is classified as a 3rd generation fighter and it is way less inferior to an F 5.
The exact criteria for the various generation are not universally agreed and are subject to some controversy.
Because all our neighbours know strength of TPDF, nor one tries to enter our country, Islamists from Mozambique tried once, they suffered terribly, they sent messages to othersFor your information Tanzania borders are very porus and huge areas are not patrolled .
Sasa mbona Alshababs bado wanaingia Kenya Kama wapendavyo na kuweka road blocks na kurudi Somalia bila hata kusumbuliwa?Kenya already has an established border patrol system with dedicated border patrol officers and infrastructure not the kienyeji machine gun firing eti ndo "kumiliki maeneo ya mpakani." .