Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Ondoeni kabisa chuki yote, ghadhabu, hasira, ugomvi na matusi, pamoja na kila uovu

Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!

Noted unknown
 
Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ?

Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, poleni tena sana!
😳😳
 
Ni bora kwenda huko. Si uliona JK alienda kiwanja kwa nini hakwenda India? Aliona michosho tu

Kuna wafanyabiashara wakubwa kadhaa hapa bongo nawafahamu huwa wanaenda Marekani na Ulaya kwa matibabu

Na bado kuna nchi kama South Korea, Japan, Singapore, Hong Kong ni bora zaidi kuliko India
India ni wana gharama za chini with compromised quality . Hâta utabibu ws shule, kwa India upo compromised sana
 
Who cares! Matonge mnapeana nyie wenyewe bila kujari watu wazuri wasomi wenye sifa walio mitaani. Mnajipa mavyeo na kugawiana kikabila na kindugu! Acha muendelee kulogana na kuuana! Mxiuuuuh!
WHO kuna kupeana vyeo ?

Hukufuatilia Interview ?
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.

PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
The innocent dies very easily but the Evel lives again and again
 
Nimeshangaa yupo kwenye vitengo vya HIV AIDs muda mrf sana kama kiongozi..
Hakuwa na HIV, halafu kwa sasa HIV sio ishu tena…..

Wapo waliosema kuwa hata Ngosha ni HIV ….. but haikuwa kweli……. Nimehudumu sekta ya Afya kwenye vitengo vya ndani…… najua viongozi ambao ni HIV positive, Faustine hakuwa. Hata hivyo now days HIV sio ishu…. Hata regimen treatment yake has been improved…..

zaman watu walikuwa wanameza Vidonge 60 hadi 90, now days ni just one tablet for 3 to 6 menths, hata risk ya kidney failure imepotea , yale ma Tenofovir, Stavudine, Atazanavir yalikuwa yanamaliza Figo za watu na yalikuwa yanawaweka watu prone to Cryptococcal Meningitis , very bad fungus infection kwenye Covering ya brain na spinal cord

Now days watu wanatumia nanotechnology , Nanomedicine , liposoma Like nanoparticles, just one dose of HIV last for 6 to 12 months ndio unakuja kuchoma nyingine….. wanatumia snaa wanajeshi wa USA ambao ni HIV positive na wale top dogs

HIV sio ugonjwa tena… Malaria is still dangerous than HIV
 
pamoja na faida ya marupurupu uliyosema ni kweli ila mimi iliniumiza sana kifo cha mzee ALLY KIBAO

Madai kwamba kauwawa are far-fetched and baseless. Kwanini waliomtangulia hawakuuwawa? Yeye ni special kiasi gani? Kwahiyo walipokuwa viongozi wa nchi zingine hawauwawi ila akiwa mbongo wanamuua?

Swala ni kwamba wawe wanaweka wazi taarifa za viongozi kuumwa kama alivyofanya mzee JK. Pia wawekeze kwenye huduma za ndani, inafikirisha kila siku wanasifia kuongeza idadi ya vituo vya afya wakati wao wakiumwa hata mafua wanaenda nje. Huko Mloganzila walikowekeza mabilioni aende nani? Wakishindwa kabia waende Europe na America, India ni nchi ya tatu iliyochangamka.
Swali la kwanini waliomtangulia hawakuuawa sio swali la msingi, unless umenijibu Ngosha alifia madarakani wakati
Wenzie walifanikiwa kumaliza vipindi vyote 2?

West Africa wamechomoa tonge kwa kigezo kuwa jamaa alikuwa anaumwq umwq and he was not real fit
 
Kumbe alikua anaunwa umwa sasa mnashangaa nini kufariki?

Hizo habari za Ndugulile kuumwa umwa wanazo West Africa tu bongo hazipo?

Mtu mwenye qualifications zote kutoa uhai wa mtu kwa mshahara wa 300k USD ni uzwazwa and far fetched wakati kuna positions nyingi zinazolipa maradufu. This claim is baseless.
 
Nadia hujajibu swali, wewe hujawahi kuuumwa umwa ?
 
Back
Top Bottom