Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wewe ni kihiyo kweli kweli.
Unajsemea tu mambo mradi uyaseme.
Nchi zipi za ulaya wanako uza dawa wachina! najua sasa utahangaika kwenda ku-google!
Kwani taarifa hii ni wewe umeitengeneza, au umei-'google' tu kama ilivyo kawaida yako?View attachment 3170957
Nahisi napoteza muda wangu bure tu kudiscuss na mtu kumbe mweupe kabisa kichwani
Kwani taarifa hii ni wewe umeitengeneza, au umei-'google' tu kama ilivyo kawaida yako?
Aisee ! Hamtaki kumaliza mjadala kwa amani. Na hapa kila mmoja anajiona yupo sawa kwa upande wake.View attachment 3170957
Nahisi napoteza muda wangu bure tu kudiscuss na mtu kumbe mweupe kabisa kichwani
Unaikubali au unaipinga?Kwani taarifa hii ni wewe umeitengeneza, au umei-'google' tu kama ilivyo kawaida yako?
Jamaa ni mjinga sana mimi naenda kwa facts yeye anabwabwaja kama umefuatilia mjadala utakuwa umejionea. Mwache aendelee kupata darasa huruAisee ! Hamtaki kumaliza mjadala kwa amani. Na hapa kila mmoja anajiona yupo sawa kwa upande wake.
Ngoja tuone .
Facts zipi, kwamba India hakuna hospitali nzuri zinazo tibu watu. Hivi unazo akili timamu wewe kweli?Jamaa ni mjinga sana mimi naenda kwa facts yeye anabwabwaja kama umefuatilia mjadala utakuwa umejionea. Mwache aendelee kupata darasa huru
Usijali sana. Huu najuwa hajui chochote. Anapo kwenda kuokoteza habari google anajihisi kuwa yeye ndiye mwenye facts hizo, na kujifanya ni mjuaji.Aisee ! Hamtaki kumaliza mjadala kwa amani. Na hapa kila mmoja anajiona yupo sawa kwa upande wake.
Ngoja tuone .
Nilichopenda hutumii panic wala matusi kwenye mjadala.Facts zipi, kwamba India hakuna hospitali nzuri zinazo tibu watu. Hivi unazo akili timamu wewe kweli?
Umeitengeneza wewe hiyo taarifa, au umeiokota tu mahali?Unaikubali au unaipinga?
Ww kwel nguchiro,unadhn waweza kimbia kifo????Achana na mawzo ya kiislamu ambayo ni ya kijinga
Jibu swali kwanza. Unakubaliana nayo au unaipinga?Umeitengeneza wewe hiyo taarifa, au umeiokota tu mahali?
Kwani si tulikuwa tunazungumzia China kuexport madawa Ulaya wewe ukakataa?Facts zipi, kwamba India hakuna hospitali nzuri zinazo tibu watu. Hivi unazo akili timamu wewe kweli?
Hatujawahi kabisa kuzungumzia India?Kwani si tulikuwa tunazungumzia China kuexport madawa Ulaya wewe ukakataa?
Hatujawahi kabisa kuzungumzia India?Kwani si tulikuwa tunazungumzia China kuexport madawa Ulaya wewe ukakataa?
Hauna taaluma yoyote kwanza jifunze kutofautisha China na Taiwannilikwisha kueleza nataka kujiridhisha kwa njia zangu za kitaaluma
Scroll upHatujawahi kabisa kuzungumzia India?
Kwani hii ya China imetokea wapi
Uelewa wako ni mdogo sana na sio mdogo tu ni kwamba hamna unachojua. Kila ninachosema ukibisha nakuletea fact unakimbia eti mpaka ufanye utafiti. Uko empty sanaHili halina tofauti yoyote na hilo la India kama ulivyo liweka. Ni kwamba, utaalam wako ni wa kuhitimisha tu ukishaona taarifa
Wewe utakuwa na upungufu wa akili sasa. Ni wapi nilipo sema Taiwan ni China? Hili nalo unataka liwe jambo la kujadili hapa?Hauna taaluma yoyote kwanza jifunze kutofautisha China na Taiwan
Naona huu nao ni mtindo muhimu kwako!Scroll up
Sawa. Wewe unajuwa kutumia google. Ukisha fika huko, kila kitu umemaliza. Inabaki kuja hapa JF kujigamba kwamba unajuwa maswala yote hayo ya India kuwa 'shit'!Uelewa wako ni mdogo sana na sio mdogo tu ni kwamba hamna unachojua. Kila ninachosema ukibisha nakuletea fact unakimbia eti mpaka ufanye utafiti. Uko empty sana