Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Wewe ni kihiyo kweli kweli.
Unajsemea tu mambo mradi uyaseme.
Nchi zipi za ulaya wanako uza dawa wachina! najua sasa utahangaika kwenda ku-google!
Screenshot_20241207-011137_Chrome.jpg

Nahisi napoteza muda wangu bure tu kudiscuss na mtu kumbe mweupe kabisa kichwani
 
Aisee ! Hamtaki kumaliza mjadala kwa amani. Na hapa kila mmoja anajiona yupo sawa kwa upande wake.
Ngoja tuone .
Usijali sana. Huu najuwa hajui chochote. Anapo kwenda kuokoteza habari google anajihisi kuwa yeye ndiye mwenye facts hizo, na kujifanya ni mjuaji.
Nimekwisha mjuwa upeo wake ulivyo. Sasa naendelea kum'tease' tu, mwishowe atajiona kuwa mpumbavu mwenyewe.
 
Kwani si tulikuwa tunazungumzia China kuexport madawa Ulaya wewe ukakataa?
Hatujawahi kabisa kuzungumzia India?
Kwani hii ya China imetokea wapi?
Na cha kushangaza ni kuwa hili la China nilikwisha kueleza nataka kujiridhisha kwa njia zangu za kitaaluma na nione lilinipita vipi pembeni; lakini kwa mtu kama wewe unaye tumia google kama ndiyo chuo chako cha mwisho kabisa, unaona umemaliza kila kitu kwa kubandika taarifa kama hizo.
Huoni tofauti kubwa hapo?
Sasa unakazania tu nikubali, bila ya ufahamu wowote wa chimbuko la hali hiyo!

Hili halina tofauti yoyote na hilo la India kama ulivyo liweka. Ni kwamba, utaalam wako ni wa kuhitimisha tu ukishaona taarifa...; kwamba India is shit..., unasahau kuwa India hiyo hiyo inayo mambo mengi na makubwa kuliko nchi nyingi duniani. Hii tabia ya 'generalization' ndio umekuwa ujinga mkubwa hata katika watendaji serikalini.
 
Uelewa wako ni mdogo sana na sio mdogo tu ni kwamba hamna unachojua. Kila ninachosema ukibisha nakuletea fact unakimbia eti mpaka ufanye utafiti. Uko empty sana
Sawa. Wewe unajuwa kutumia google. Ukisha fika huko, kila kitu umemaliza. Inabaki kuja hapa JF kujigamba kwamba unajuwa maswala yote hayo ya India kuwa 'shit'!
 
Back
Top Bottom