Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wewe si ulisema India wanaimport APIs kutoka TaiwanWewe utakuwa na upungufu wa akili sasa. Ni wapi nilipo sema Taiwan ni China? Hili nalo unataka liwe jambo la kujadili hapa?
Kuhusu taaluma, hilo wala usiwe na shaka juu yake. kama unataka kuliendeleza hapa, mimi sina la kuongezea juu yake.
Yeah kwa wajinga wajinga kama weweNaona huu nao ni mtindo muhimu kwako!
Siku nyingine ndio uache ujuaji najua umeaibika kiaina. Kwenye mijadala kama kitu haujui usiwe na maneno mengi na ujuaji ulinde heshima yakoSawa. Wewe unajuwa kutumia google. Ukisha fika huko, kila kitu umemaliza. Inabaki kuja hapa JF kujigamba kwamba unajuwa maswala yote hayo ya India kuwa 'shit'!
najuwa ufinyu wa uwezo wako kuelewa kilicho andikwa.Wewe si ulisema India wanaimport APIs kutoka Taiwan
utajuaje kuwa nime aibika wakati ninakuonyesha ni jinsi gani ulivyo mtupu. Mtu unaye tegemea google kujionyesha unajuwa vitu usivyo kuwa na ufahamu juu yakeSiku nyingine ndio uache ujuaji najua umeaibika kiaina. Kwenye mijadala kama kitu haujui usiwe na maneno mengi na ujuaji ulinde heshima yako
Hapa nakubaliana na wewe bruh kwa kiasi kikubwa mbali na googleView attachment 3170957
Nahisi napoteza muda wangu bure tu kudiscuss na mtu kumbe mweupe kabisa kichwani
Nili sema wapi kuwa India wana-'import' toka Taiwan. Unaweza kunionyesha hili?Wewe si ulisema India wanaimport APIs kutoka Taiwan
Unaongeza wigo kwenye mjadala, unakuwa mkubwa zaidi ya kule tuliko anzia. Sasa hata hilo la "ubaguzi" linaingia, ambalo mimi silipingi, na sijui kama wachina nao hawana ubaguzi wao. Hiyo ni 'experience' yako na hao wahindi.Hapa nakubaliana na wewe bruh kwa kiasi kikubwa mbali na google
Nilikuwa kwenye hizi pharmaceutical industry.... Na madawa tulikuwa tuna import china na sio sisi tuu wengi wa wafanyabiashara na makampuni ya madawa yalikuwa Yana import kutoka china kuliko India.....
Nilifanya uchunguzi wangu kwanini tusichukue India nikaambiwa wale wana tabia za kibaguzi hasa wakijua importer sio muhindi mwenzako...
Nadhani hata Kenya wana subsidiary Hawa wahindi lakini mambo yao ya hovyo
Hata madawa yakifika Tz hapa yaan ukifanya delivery kwa wahindi ukizingua kidogo tuu wanaweza kugoma kuchukua mzigo
Ila wachina wanajua kukimbizana na biznez vzr shida ya wahindi ubaguzi..
Uko sahihi mkuu. Wahindi ni wapumbavu sana wameendekeza sana ubaguziHapa nakubaliana na wewe bruh kwa kiasi kikubwa mbali na google
Nilikuwa kwenye hizi pharmaceutical industry.... Na madawa tulikuwa tuna import china na sio sisi tuu wengi wa wafanyabiashara na makampuni ya madawa yalikuwa Yana import kutoka china kuliko India.....
Nilifanya uchunguzi wangu kwanini tusichukue India nikaambiwa wale wana tabia za kibaguzi hasa wakijua importer sio muhindi mwenzako...
Nadhani hata Kenya wana subsidiary Hawa wahindi lakini mambo yao ya hovyo
Hata madawa yakifika Tz hapa yaan ukifanya delivery kwa wahindi ukizingua kidogo tuu wanaweza kugoma kuchukua mzigo
Ila wachina wanajua kukimbizana na biznez vzr shida ya wahindi ubaguzi..
Hili ndio tatizo lako ulivyovisema unavikana baada ya kuelimishwa na kupewa fact. Sitachoka kukumbusha ukitaka ujue mengi kuwa humbleNili sema wapi kuwa India wana-'import' toka Taiwan. Unaweza kunionyesha hili?
Hili liweke pembeni kwa sababu sina cha kujadili na wewe juu yake mbali ya taarifa za ku-google tu. Labda uwe unatafuta kujuwa usiyo takiwa kuyajuwa kunihusu mimi binafsi; jambo ambalo sitakuruhusu ufaidike nalo.Huyu anayejiita @Kalamu ndio namuelewesha hilo ila angalau mkija na wengine mumpe fact hajui chochote kuhusu pharma industry ila anajitutumua sana
Huyo jamaa kaja hapo kakubaliana na nilichosema kwani yeye ni google? Si kasema yeye ni mdau wa pharm industry au naye unamkataa? Wewe ni mdau wa pharma ind kweli mbona vitu vingi haujui. Nyinyi ndio vishoka wenyeweHili liweke pembeni kwa sababu sina cha kujadili na wewe juu yake mbali ya taarifa za ku-google tu. Labda uwe unatafuta kujuwa usiyo takiwa kuyajuwa kunihusu mimi binafsi; jambo ambalo sitakuruhusu ufaidike nalo.
Tuzungumzie uhovyo wa wahindi kama ulivyo uanzisha kuhusu hospitali zao, na mitaa yao, na sasa ubaguzi wao.
Hii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wako unapo soma kilicho andikwa.Hili ndio tatizo lako ulivyovisema unavikana baada ya kuelimishwa na kupewa fact. Sitachoka kukumbusha ukitaka ujue mengi kuwa humble
Sitaki kukujua ila nataka nikuonyeshe kuwa wewe kwenye hizi mambo za pharmaceutical hujui kitu. Na darasa nitakupa unabisha lakini unagainLabda uwe unatafuta kujuwa usiyo takiwa kuyajuwa kunihusu mimi binafsi; jambo ambalo sitakuruhusu ufaidike nalo.
Na ni kweli haujui, hata dogo wa darasa la 3 anakuzidi, unazinguaHii ni kutokana na ufinyu wa uelewa wako unapo soma kilicho andikwa.
Mfano ni huo wa kufikiri kuwa sijui tofauti iliyopo kati ya China na Taiwan.
Sasa kakubaliana na wewe kuhusu nini, ubaguzi au siyo?Huyo jamaa kaja hapo kakubaliana na nilichosema kwani yeye ni google? Si kasema yeye ni mdau wa pharm industry au naye unamkataa? Wewe ni mdau wa pharma ind kweli mbona vitu vingi haujui. Nyinyi ndio vishoka wenyewe
KalamuHuko india Kuna hospital ya mzena iliyochangamka!
Achana na la ubaguzi, kasome comment yake uilewe kaongelea vitu vingi ambavyo nilikuwa nakwambia unabishaSasa kakubaliana na wewe kuhusu nini, ubaguzi au siyo?
Hutaweza kunipeleka huko hata ufanye nini, na hubadili chochote.Sitaki kukujua ila nataka nikuonyeshe kuwa wewe kwenye hizi mambo za pharmaceutical hujui kitu. Na darasa nitakupa unabisha lakini unagain