Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Nakubaliana na ule msemo China means business

Kalamu
 
Mimi na wewe,. najibu hoja zako hata kama ni za kipuuzi nitazijibu. Hospitali za India wanako kwenda kutibiwa waTanzania mbali mbali ni tofauti na zile hospitali za umma ambazo huduma zake ni hafifu zaidi. Unasemaje kuhusu hilo?
Hizohizo unazoziita hospitali maalumu viongozi wa India wanazikimbia wanaenda kutibiwa Marekani na Ulaya ni muhimu kwa wajinga wajinga kutoka Tanzania. India ni takataka
 
Hizohizo unazoziita hospitali maalumu viongozi wa India wanazikimbia wanaenda kutibiwa Marekani na Ulaya ni muhimu kwa wajinga wajinga kutoka Tanzania. India ni takataka
Hao unao waita "wajinga wajinga" ndio viongozi wako hao. Waulize inakuwaje wewe usiye kuwa mjinga unayajuwa yote ya hospitali hizo, lakini wao wakawa wajinga kiasi kile.
 
Nakubaliana na ule msemo China means business

Kalamu
Naona hapo juu kasema walevi wawili 😂😂

Akaombe taarifa TMDA ajue kati ya mchina na muhindi nan exporter kwa hapa Tz maybe coz

Ukiwa unaagiza contena likifika lazima ujaze TMDA IMPORT PERMIT na ukikosea utaambiwa hapa jaza hv na sio hivi na utaonyesha contena linatoka kwa supplier au manufacturer kutoka wapi ?

Hata kujaza TMDA PREMISES PERMIT mbn lazima uonyeshe supplier wako

Aende TMDA hapo external aombe tuu takwimu ajifanye hata ni mwanafunzi au anataka kujua kwa kuangalia soko liko wapi!
 
Best Drs ni waliosomea China at least, na waliosomea bongo au ulaya, pia Turky, ila india ni big NOOOOO
 
🤣🤣🤣 huu ndio ukweli halisi kutoka kwa mlevi mwenzangu

Kalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…