Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Maybe yeye sijui anataka kumaanisha nini lakini

Wahindi wanaonekana kuipenda kazi yao hasa wamejichanganya na sisi watu weusi ndo maana tunawaona hivyo labda na nidhamu ya kazi kutuzidi

Kingine ile wanajua kumuandaa mwendelezaji wa biashara zao tofaut na sisi mpk mtu afe ugomvi uibuke labda ufananishe wahindi na waafrica

Lakini wahindi na wachina aseeh

Wachina watu wengi hasa nasema kwa kumaanisha

Tuliwahi kumwambia mchina by saa sita tunakuwa tumefanya payment for our new containers Ila kufika saa sita hatujalipa mtandao benk hausomi na hapo tushalipia kama nusu ya mzigo

Mzigo tumekuja kupata third consignment
Uone mchina alivyo chapu kwenye biashara....
Nakubaliana na ule msemo China means business

Kalamu
 
Mimi na wewe,. najibu hoja zako hata kama ni za kipuuzi nitazijibu. Hospitali za India wanako kwenda kutibiwa waTanzania mbali mbali ni tofauti na zile hospitali za umma ambazo huduma zake ni hafifu zaidi. Unasemaje kuhusu hilo?
Hizohizo unazoziita hospitali maalumu viongozi wa India wanazikimbia wanaenda kutibiwa Marekani na Ulaya ni muhimu kwa wajinga wajinga kutoka Tanzania. India ni takataka
 
Hizohizo unazoziita hospitali maalumu viongozi wa India wanazikimbia wanaenda kutibiwa Marekani na Ulaya ni muhimu kwa wajinga wajinga kutoka Tanzania. India ni takataka
Hao unao waita "wajinga wajinga" ndio viongozi wako hao. Waulize inakuwaje wewe usiye kuwa mjinga unayajuwa yote ya hospitali hizo, lakini wao wakawa wajinga kiasi kile.
 
Nakubaliana na ule msemo China means business

Kalamu
Naona hapo juu kasema walevi wawili 😂😂

Akaombe taarifa TMDA ajue kati ya mchina na muhindi nan exporter kwa hapa Tz maybe coz

Ukiwa unaagiza contena likifika lazima ujaze TMDA IMPORT PERMIT na ukikosea utaambiwa hapa jaza hv na sio hivi na utaonyesha contena linatoka kwa supplier au manufacturer kutoka wapi ?

Hata kujaza TMDA PREMISES PERMIT mbn lazima uonyeshe supplier wako

Aende TMDA hapo external aombe tuu takwimu ajifanye hata ni mwanafunzi au anataka kujua kwa kuangalia soko liko wapi!
 
Nimefanya kazi na hao watu, ukisikia mtu kasomq udaktqri , Ufamasia, unesi etc jua hakuna kitu, India ni business Oriented mind , hakuna ku feli kule… utafaulishwa hata kama hutaki…… wanajua hufanyi kazi kwao utarudi kwenu

I can guarantee mtu aliyesoma Udaktar , Unesi na Ufamasia hapo MUHAS au CUHAS than any body who perused his degree in India , NEVER NEVER NEVER I say never
Best Drs ni waliosomea China at least, na waliosomea bongo au ulaya, pia Turky, ila india ni big NOOOOO
 
Naona hapo juu kasema walevi wawili 😂😂

Akaombe taarifa TMDA ajue kati ya mchina na muhindi nan exporter kwa hapa Tz maybe coz

Ukiwa unaagiza contena likifika lazima ujaze TMDA IMPORT PERMIT na ukikosea utaambiwa hapa jaza hv na sio hivi na utaonyesha contena linatoka kwa supplier au manufacturer kutoka wapi ?

Hata kujaza TMDA PREMISES PERMIT mbn lazima uonyeshe supplier wako

Aende TMDA hapo external aombe tuu takwimu ajifanye hata ni mwanafunzi au anataka kujua kwa kuangalia soko liko wapi!
🤣🤣🤣 huu ndio ukweli halisi kutoka kwa mlevi mwenzangu

Kalamu
 
Back
Top Bottom