Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Umeongea kwa uchungu sana Mkuu, Inauma kwa kweli!
 
Uchaguzi upi mzee?? Siongelei Uchafuzi wa CCM naongelea Uchaguzi wa Canada
NDIO HIVYO MKUU - NI VURUMAI ILI TUBAKI MADARAKANI
TUNAANGALIA MATUMBO YETU KWANZA
KUNA HALALI NUSU HALALI NA HARAMU NA KWA SASA INATUMIKA ZAIDI HARAMU
 
Kufa kufa tu, hata uende hospital gani wakufa tu. Mengi jinsi ya kuwa na pesa wa kufa? Sativa na LISSU kweli wa kupona? Lkn Allah akisema " Kun faya kun" mean kuwa basi huwa"
 
Kufa kupo Megalodon na ikifika utakufa tu brother uwe India, Songea, SA au Muhimbili au Aghakan etc. Siri ya kifo iko mikononi mwa Mungu. Pointi kwamba watu wanakimbilia India kwani hapa MNH watu hawafi? lkn siku ikifika you perish whether u like or not RIP our young brother Dr Faustin
 
ah kumbe alioa kaskazini.......
 
Kila nafsi itaonja umauti,

Inna lilahi wa inna ilayhi Raji'run.

R.I.P Dr.Faustine 🤭
 
Andiko lako linafikirisha sana. Hii hali anaipitia Doctor Tulia. Anahitaji ulinzi wa kutosha. Wazungu hawapendi pesa wanazoamini zinatoka kwenye kodi zao ziliwe na Mwafrika. Lakini pia Waafrika hatupendani. Ubinafsi wa madaraka unafanya tunauana wenyewe kwa wenyewe.

Ndugulile alipaswa kuwa na ulinzi imara since alipopata cheo hicho. Tulia analindwa ni miongoni mwa walinzi akiwa ughaibuni ni hao wazungu. Hii kitu hawaitaki kabisa kunahitajika umakini
 
Haina haja ya kulalamika kwa chochote mkuu wangu.

Ukijua kwamba kifo kinamfikia yeyote na kwa namna yeyote. Mtu akifa wewe sikitika tu usitake sana kujua ilikuwaje, kwani na wewe hujijui itakuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…