Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
At the end of the the day you're still dumb the stupidity is like cancer difficult to get rid of itNOT 'knowledge'. Any fool like yourself can easily access it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
At the end of the the day you're still dumb the stupidity is like cancer difficult to get rid of itNOT 'knowledge'. Any fool like yourself can easily access it.
Even U.S imports APIs from ChinaI must admit, I am highly surprised by this information about China supplying APIs to India. For sure, I know Taiwan is a very important source of such ingredients.
I agree, African leaders have been brainwashed and are influenced by external idéologies , utaona wanaiba hela na kuwekeza ulaya, worst partIndia have the worst public health system among major countries in the world
Talking of private hospitals ask yourself why so many politicians and celebs in India go for foreign medical facilities to get treated and not in their own coutry
Why dont they trust their own? The answer is India is piece of shit
Haiwezekani nilipwe 130M kwa mwezi halafu mke wangu apate 60% yake. Never! Apate 60% then aipeleke wapi? Yeye ni wa kuangalia miradi ya familia.Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Yeah 17% of U.S API imports come from ChinaBased on their standards with carefully inspections
NAKAZIAAnyway, wataelewa overtime
Pole yako mkuu 'Mzee wa uharo'!At the end of the the day you're still dumb the stupidity is like cancer difficult to get rid of it
That may be as well the case, I have no idea!Even U.S imports APIs from China
Kuna kitu hukielewi ila sijajua Modality ya WHO wangefanyaje, ila hiyo hela angepata yule mama. Wenzetu wapo very serious . Unapewa pesa ya kulala Hôtel ya dola 500 na unapewa standard za hotel wanazotaka ulale , then jichanganye ukalale hotel za dola 50 ili u save the restHaiwezekani
Haiwezekani nilipwe 130M kwa mwezi halafu mke wangu apate 60% yake. Never! Apate 60% then aipeleke wapi? Yeye ni wa kuangalia miradi ya familia.
Na kama akitaka, ni sharti aukabidhi kwangu then niuweke kwenye budget.
Tusidanganyane hapa, kwa wanawake gani hao wa kupata more than 60M kwa mwezi na wakawa watii kwa waume zao?
Tuambiane ukweli. Ndoani HUJUMA haiepukiki, ila ni HUJUMA njema, ya mume mwenye akili kumhujumu mke. Kwa vyovyote, NI LAZIMA KIPATO CHA MWANAMKE KIWE LIMITED NA KIDOGO MNO ILI NDOA IWE VIZURI. Hili mwanaume anatakiwa na ni LAZIMA afanye hujuma kwa maslahi mapana ya familia ili familia ikalike.
Eti 78M ziende easy tu kwa mke? Mke wa nyoko?
Achana na hiyo kauli
Ikifika siku yako imefika hata sisimizi akikung'ata unakufa..
Muhimu ni kuwa teyari muda wote maan ni lazima tutakufaa tu.
Kwa mtu aliyekuwa anafuatilia mjadala wetu iko wazi kuwa wewe ndiyo ulikuwa haujui tunachozungumziaPole yako mkuu 'Mzee wa uharo'!
Hapana, tuachane na hayo. Tukirudi mwanzo kabisa, ni wazi ulikuwa hujui ulicho kuwa ukizungumzia; na hii sasa hapa kwetu umekuwa ni kama ugonjwa. Kila mtu akipata neno moja mawili juu ya kitu, tayari anataka kuonyesha yeye ni mjuwaji. Too bad for us all!
Usikasirike mkuu, haya yote hayakuondolei chochote katika maisha yako unavyo yaendesha mwenyewe. Mradi tu, usiwe FISADI. Sina simile na watu wa aina hiyo.
Sio kila nyuzi mpaka mcomment. Nyingine zimawadharirisha kwa kuonesha tupu za akili zenu. Sasa hapa umecomment nini ndugu yangu?Haiwezekani
Haiwezekani nilipwe 130M kwa mwezi halafu mke wangu apate 60% yake. Never! Apate 60% then aipeleke wapi? Yeye ni wa kuangalia miradi ya familia.
Na kama akitaka, ni sharti aukabidhi kwangu then niuweke kwenye budget.
Tusidanganyane hapa, kwa wanawake gani hao wa kupata more than 60M kwa mwezi na wakawa watii kwa waume zao?
Tuambiane ukweli. Ndoani HUJUMA haiepukiki, ila ni HUJUMA njema, ya mume mwenye akili kumhujumu mke. Kwa vyovyote, NI LAZIMA KIPATO CHA MWANAMKE KIWE LIMITED NA KIDOGO MNO ILI NDOA IWE VIZURI. Hili mwanaume anatakiwa na ni LAZIMA afanye hujuma kwa maslahi mapana ya familia ili familia ikalike.
Eti 78M ziende easy tu kwa mke? Mke wa nyoko?
Hebu ngoja, maanake utatoka hapa ukidhani kuna jambo la kipekee sana ambalo ume lichangia.Kwa mtu aliyekuwa anafuatilia mjadala wetu iko wazi kuwa wewe ndiyo ulikuwa haujui tunachozungumzia
Kwenye majukwaa humu kuna watu wanajua mambo na uwanda mkubwa kwenye field mbalimbali hivyo kuna wakati kuwa humble ujifunze mengi kuliko kujifanya mjuaji
Hii ni kanuni nzuri sana maishani itakusaidia siku nyingine
Umaalumu wake uko wapi? Watu wanaenda wagonjwa wanarudi ama mizigo kwenye ndege.Jambo lilikuwa ni kuhusu India; specifically huduma za hospitali zinazo tlewa huko kwa watu wanao kwenda kutibiwa huko.
Nilikueleza, toka mwanzo, hizo hospitali wanako kwenda, Kama Appolo, siyo sehemu ya hospitali zinazo tumiwa na wananchi kama huduma za jamii "Public Service". Hizi ni hospitali maalum, ambazo ni Private, zina wataalam wazuri kabisa na vifaa vyote vinavyo patikana kokote duniani.
Wewe unakazania tu India is 'shit'--- yes it is shit kwenye hizo hospitali za public, lakini siyo hizo maalum; ndiyo sababu watu wanakwenda kutibiwa huko.
haya ndiyo yanayo kufanya uonekane kuwa na upeo mdogo. Umefikiria ni watu wangapi wamekwenda huko wakatibiwa na kupona?Umaalumu wake uko wapi? Watu wanaenda wagonjwa wanarudi ama mizigo kwenye ndege.
Ndio maans nilikwsmbia viongozi wengi wa India na matajiri na celebs huenda Ulaya na Marekani kwa matibabu
Hawakuona hizo hospital maalumu kwao India?
Ila viongozi wa Tanzania kwenda India ndio hoja sio?haya ndiyo yanayo kufanya uonekane kuwa na upeo mdogo. Umefikiria ni watu wangapi wamekwenda huko wakatibiwa na kupona?
Sasa kwa kuwa hawa wawili wamefariki, ndiyo liwe hitimisho unalo lifanya kiujumla? Uliona wapi vitu vya aina hiyo.
Viongozi wengi wa India si hoja. Hoja ni kama kuna hospitali hizo huko na kuna watu wanatibiwa huko na kupona. Credentials za hao wanao tibu huko unazo? Vifaa vinavyo tumika kwenye hospitali hizo unavijuwa. Sasa hitimisho lako tueleze unalifanya kwa misingi ipi?