nyerere alifia wapi? mkapa wapi? india ndio bora kuliko ulayaWhat's so special na Hospital za India??????.
Kila anayekwenda huko anakata moto!!!
UK, USA, NA Europe hakuna hospital za kisasa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyerere alifia wapi? mkapa wapi? india ndio bora kuliko ulayaWhat's so special na Hospital za India??????.
Kila anayekwenda huko anakata moto!!!
UK, USA, NA Europe hakuna hospital za kisasa???
Hata huwezi kueleza uijuavyo kuwa "takataka"; tuamini tu kwa kuwa wewe umesema!India ni takataka
Umesikia wewe fanya utafiti kuhusu public healthcare system ya India utapata majibu ni 💩💩💩Hata huwezi kueleza uijuavyo kuwa "takataka"; tuamini tu kwa kuwa wewe umesema!
Hapa ndipo ujinga wako unapo jidhihirisha; kama huwezi kutofautisha hiyo unayo iita "Public Healthcare" na huduma za hizi hospitali ambazo hazimo kwenye hiyo 'Public'.Umesikia wewe fanya utafiti kuhusu public healthcare system ya India utapata majibu ni 💩💩💩
Nimejibu kulingana na mada ilipotokaHapa ndipo ujinga wako unapo jidhihirisha; kama huwezi kutofautisha hiyo unayo iita "Public Healthcare" na huduma za hizi hospitali ambazo hazimo kwenye hiyo 'Public'.
Hakuna mgonjwa anaye kwenda India kupata huduma kwenye hospitali hizo za 'Public'.
Inaonyesha hata hujui "mada inapo toka"!Nimejibu kulingana na mada ilipotoka
Scroll upInaonyesha hata hujui "mada inapo toka"!
No need to.Scroll up
So why are you arguing about something you don't know about?No need to.
How do you know "I am arguing about something I do not know about"?So why are you arguing about something you don't know about?
if you're gonna argue against me atleast make an argument that isnt so stupid it's self sealing
Rosa mistika......nazikimbuka nyakati nilizodhani nitakua mahiri sana kwenye kada yangu lakini ndiyo hivyo Tena Ganda la muwa la Jana chungu kaona kivunoNi kitabu gani cha Kezilahabi unakipenda kuliko vyote; na kwa nini?
Ndiyo. Kezilahabi alikuwa mfuasi mahiri wa tapo la falsafa la Existentialism. Katika tapo hili maisha hutazamwa kwa hatihati sana, nafasi ya binadamu katika mtazamo mpana wa kimalimwengu hudogoshwa na dini huonwa kama bandeji tu isiyo na faida katika donda ndugu lisilotibika. Maisha, katika upana wake, hudarubinishwa sana na kuonekana kama mchezo fulani wa watoto usio na maana pengine tu kuleta burudani hafifu isiyo na ridhiko na ya muda mfupi tu.
Kuanzia kwenye kazi zake akiwa angali kijana (Rosa Mistika), kwenye diwani zake kadhaa (Kichomi na Karibu Ndani) na hata kazi zake komavu za kifalsafa (Nagona na Mzingile) maisha yanaonwa kama mchezo fulani hivi mfupi sana, usio na kanuni wala mshindi.
Ila kwa vile, kama asemavyo Dk. Dyaboli, mbegu za baba zetu zilikuwa na kiherehere cha kulishinda lile shindano kubwa kuliko yote kule kwenye fallopian tubes za mama zetu tukajikuta tunazaliwa tena bila ridhaa zetu, basi inabidi tu tuyaishi haya maisha na kupambana nayo - hata kama ni magumu na yasiyokuwa na maana kiasi gani 💪💪
Maisha na kifo!
Kifo na maisha!
Rosa Mistika - Ua waridi lenye fumbo! 🙏🏿
The problem started when you refused to scroll upHow do you know "I am arguing about something I do not know about"?
What makes you reach such an abstract conclusion?
Now, think carefully what you're attempting to provoke in that last sentence.
"to scroll to where"; and why should that be a problem?The problem started when you refused to scroll up
That’s why arguments here are futile. You just pretend you know about shit you know nothing about. And you speak with so much authority on it
It’s perfectly okay to not know nobody expects anyone to know about everything
So why pretend?
Usidharau elimu ya India,Nimefanya kazi na hao watu, ukisikia mtu kasomq udaktqri , Ufamasia, unesi etc jua hakuna kitu, India ni business Oriented mind , hakuna ku feli kule… utafaulishwa hata kama hutaki…… wanajua hufanyi kazi kwao utarudi kwenu
I can guarantee mtu aliyesoma Udaktar , Unesi na Ufamasia hapo MUHAS au CUHAS than any body who perused his degree in India , NEVER NEVER NEVER I say never
Kama kifo is kifo mbona spika kaomba kucheleweshwa kidogoKifo cha bwana ali kibao mama yetu mpendwa alisema kifo ni kifo tu usisahau hilo mkuu
Anaitwa Magdalena lymo….. i mixed her name. Hata Samia ali mix jina lake…..Dont expect me to be perfect.Mke wa Faustine haitwi Magdalena Swai na hayupo nbts
Well, sijaidharau lakini i think education ya india is better for them not for you . Mtu mweusi akienda kusoma india hapewi kipaumbele na utafaulu hata kama hutaki kufaulu. Ni kweli competency ya mtu ni yeye mwenyewe but product nyingi za India competency ipo chini sana. Zamani waliokuwa wanakosa nafasi pale MUHAS ndio walikuwq wanakimbilia India na wakifika huko wanapokelewa kisha wnaarudi na digrii ya udaktariUsidharau elimu ya India,
Wahindi wanatawala sekta nyingi duniani hata huko magharibi wako katika vyeo vikubwa.
Tunasikitika mtu kufariki lakini tusianze kutupa lawama bila kuwa na taarifa ya sababu ya kifo kama ni madhara ya ugonjwa au uzembe wa madaktari.
Pia kumbuka Kuna Siri za mgonjwa ambazo watu wake wa karibu na labda maboss wake kazini ndio wanaweza kujua.
Sidhani kiprotokali cheo cheo Cha marehemu kina lazimisha sababu za kifo kuwekwa hadharani.
Mungu amuweke pema.