Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Umesikia wewe fanya utafiti kuhusu public healthcare system ya India utapata majibu ni 💩💩💩
Hapa ndipo ujinga wako unapo jidhihirisha; kama huwezi kutofautisha hiyo unayo iita "Public Healthcare" na huduma za hizi hospitali ambazo hazimo kwenye hiyo 'Public'.

Hakuna mgonjwa anaye kwenda India kupata huduma kwenye hospitali hizo za 'Public'.
 
Nimejibu kulingana na mada ilipotoka
 
So why are you arguing about something you don't know about?

if you're gonna argue against me atleast make an argument that isnt so stupid it's self sealing
How do you know "I am arguing about something I do not know about"?
What makes you reach such an abstract conclusion?

Now, think carefully what you're attempting to provoke in that last sentence.
 
Ni kitabu gani cha Kezilahabi unakipenda kuliko vyote; na kwa nini?

Ndiyo. Kezilahabi alikuwa mfuasi mahiri wa tapo la falsafa la Existentialism. Katika tapo hili maisha hutazamwa kwa hatihati sana, nafasi ya binadamu katika mtazamo mpana wa kimalimwengu hudogoshwa na dini huonwa kama bandeji tu isiyo na faida katika donda ndugu lisilotibika. Maisha, katika upana wake, hudarubinishwa sana na kuonekana kama mchezo fulani wa watoto usio na maana pengine tu kuleta burudani hafifu isiyo na ridhiko na ya muda mfupi tu.

Kuanzia kwenye kazi zake akiwa angali kijana (Rosa Mistika), kwenye diwani zake kadhaa (Kichomi na Karibu Ndani) na hata kazi zake komavu za kifalsafa (Nagona na Mzingile) maisha yanaonwa kama mchezo fulani hivi mfupi sana, usio na kanuni wala mshindi.

Ila kwa vile, kama asemavyo Dk. Dyaboli, mbegu za baba zetu zilikuwa na kiherehere cha kulishinda lile shindano kubwa kuliko yote kule kwenye fallopian tubes za mama zetu tukajikuta tunazaliwa tena bila ridhaa zetu, basi inabidi tu tuyaishi haya maisha na kupambana nayo - hata kama ni magumu na yasiyokuwa na maana kiasi gani 💪💪

Maisha na kifo!

Kifo na maisha!

Rosa Mistika - Ua waridi lenye fumbo! 🙏🏿
Rosa mistika......nazikimbuka nyakati nilizodhani nitakua mahiri sana kwenye kada yangu lakini ndiyo hivyo Tena Ganda la muwa la Jana chungu kaona kivuno
 
How do you know "I am arguing about something I do not know about"?
What makes you reach such an abstract conclusion?

Now, think carefully what you're attempting to provoke in that last sentence.
The problem started when you refused to scroll up

That’s why arguments here are futile. You just pretend you know about shit you know nothing about. And you speak with so much authority on it

It’s perfectly okay to not know nobody expects anyone to know about everything

So why pretend?
 
"to scroll to where"; and why should that be a problem?
If you have challenges of comprehending what you read, you should not assume that I am confronted by the same disability.
I can assure you of the knowledge I possess on the issue under discussion, there's no reason whatsoever for "pretending".
 
Nimefanya kazi na hao watu, ukisikia mtu kasomq udaktqri , Ufamasia, unesi etc jua hakuna kitu, India ni business Oriented mind , hakuna ku feli kule… utafaulishwa hata kama hutaki…… wanajua hufanyi kazi kwao utarudi kwenu

I can guarantee mtu aliyesoma Udaktar , Unesi na Ufamasia hapo MUHAS au CUHAS than any body who perused his degree in India , NEVER NEVER NEVER I say never
Usidharau elimu ya India,
Wahindi wanatawala sekta nyingi duniani hata huko magharibi wako katika vyeo vikubwa.
Tunasikitika mtu kufariki lakini tusianze kutupa lawama bila kuwa na taarifa ya sababu ya kifo kama ni madhara ya ugonjwa au uzembe wa madaktari.
Pia kumbuka Kuna Siri za mgonjwa ambazo watu wake wa karibu na labda maboss wake kazini ndio wanaweza kujua.
Sidhani kiprotokali cheo cheo Cha marehemu kina lazimisha sababu za kifo kuwekwa hadharani.
Mungu amuweke pema.
 
Mke wa Faustine haitwi Magdalena Swai na hayupo nbts
Anaitwa Magdalena lymo….. i mixed her name. Hata Samia ali mix jina lake…..Dont expect me to be perfect.

You are not serious….. kama hayupo NBTS yupo wapi ? Unless kama kashaondoka but mpaka end of 2022 alikuwa hapo kama Program Manager.
Nimefanya nae kazi for more than 5 years unaniambia hayupo NBTS are you mad ? au NBTS kwako ni kitugani ? Pengine huelewi maana ya NBTS mpaka tutamke kwa kiswahili

Ukiwa unakosoa data uwe unatoa data ambazo unaamini ni sahihi otherwise unakuwa manipulator
 
Usidharau elimu ya India,
Wahindi wanatawala sekta nyingi duniani hata huko magharibi wako katika vyeo vikubwa.
Tunasikitika mtu kufariki lakini tusianze kutupa lawama bila kuwa na taarifa ya sababu ya kifo kama ni madhara ya ugonjwa au uzembe wa madaktari.
Pia kumbuka Kuna Siri za mgonjwa ambazo watu wake wa karibu na labda maboss wake kazini ndio wanaweza kujua.
Sidhani kiprotokali cheo cheo Cha marehemu kina lazimisha sababu za kifo kuwekwa hadharani.
Mungu amuweke pema.
Well, sijaidharau lakini i think education ya india is better for them not for you . Mtu mweusi akienda kusoma india hapewi kipaumbele na utafaulu hata kama hutaki kufaulu. Ni kweli competency ya mtu ni yeye mwenyewe but product nyingi za India competency ipo chini sana. Zamani waliokuwa wanakosa nafasi pale MUHAS ndio walikuwq wanakimbilia India na wakifika huko wanapokelewa kisha wnaarudi na digrii ya udaktari
Product ya MUHAS iliyofika hadi graduate is better than any product from India, I can bet that 100.

Chunguza asilimia kubwa waliosoma huko, qualification hazikutosha kuingia MUHAS. Vyuo vingi vya India ninavifananisha na chuo kama Kampala University hapo Tanzania

Unakuta na mtoto wa Kampala ana GPA ya 4,5 na MUHAS ana 3.2 , wape kazi au wafundishe kazi…..utajiuliza mwenyewe wewe hiyo gpa ya 4 ulipataje

Kiufupi India may be it is good for them . If you really want better education nendeni Scandinavie country kwenye public university ni affordable and better educations

Egypt Morocco, Tunia, Algeria, SA wana standard education system kuliko India by far
India ni business oriended
I dont recommend
Nothing personnal

Viongozi wa CCM wangekuwa na Akili….. they would not opt for India
Wa investi hosp za TZ waache ujinga…. Wataletwa kwenye masanduku hadi wakome
 
Back
Top Bottom