Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

India iko overrated sana na Watanzania

Mtu una hela na mtumishi mkubwa tu serikalini eti unaenda India

Huwezi kusikia kiongozi mkubwa wa mataifa ya Ulaya, Far East Asia, Latin America au Middle East ameenda India

Huu utamaduni wa kwenda India sijui tumeutolea wapi?
Apolo hawa ni wachezesha Nyaya za umeme(stima) alafu zikipiga Shoti wanaepa Ololoyaye
 
Back
Top Bottom