Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Actually kilichoko mitandaoni ni exactly same asa whati is happening in real communities. Asitudanganye
 
Sio sitaki. Hata kama sitaki haitasaidia. Ila nahoji tu. Huyu Rais anajiona yeye ndo yeye. Yupo juu ya Ikulu hadi anaapisha viongozi kibarazani kwake.
Lakni si ndiye huyu huyu mlichelewa kugundua sisi tulishaona toka zamani hakuna Rais hapo. Mkapinga kwa vigelegele.
 
Duh this is shame kabisa ila nani atahoji abak salama watu wanaogopa kesi za ML but i say this what goes around comes around this too

Time will tell jambo la muhimu Jikinge na COVID19 ipo na inaua wakinge na uwapendao

Its not over until its over...[emoji769]
 
Rais wetu anapiga kazi asikwambie mtu..

Tupige kazi jamani tumuunge mkono Rais wetu jembe..
 
Mwanzoni mimi niliona kama ni bar. Maana kulikuwa na maviti ya plastic kama ya Bar.
 
Natamani kuona kapicha au kavideo

Jr[emoji769]
 
Hapana jamani....
Nooo...
Nimejaribu kusikiliza hotuba ya Magufuli...
First of all the guy is sick...!!
Wangemwacha apone kwanza...
Anaumwa vibaya mno...
Nilichogundua ni kuwa wamechagua kuwaacha Watanzania wafe wakidhani kuwa wanaudhibiti upinzani!!
Focus ya Magufuli ni uchaguzi wala si uchumi...
 
Nikajua mimi peke yangu ndio nimeiona khofu kubwa sana aliyonayo.
Itakuwa analishwa matango pori sana na wasaidizi wake na yeye sababu hana uwezo wa kupembua anayabeba tuu.

Yaani rais wa nchi anadai "watu wanaofanya mazoezi corona inawakwepa" wakati wachezaji kama rudy gobert, donovan mitchel, paul dybala na hata Mwafa ambae hufanya mazoezi mara kwa mara lakini imewapata.

Anatumia lugha ya kitu kwa jaji augustino kwa kusema "alivyoumwa tukapeleka india"
Hivi kweli Rais hajui kiswahili hadi atumie lugha hii.
Rais wa ajabu sana huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…