astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Sasa leo na huo msongamano watu wanatokea Dodoma kwenye epicenter ndio wanaupeleka sasa wiki mbili zijazo tutasikia mshindoJana ulisema yupo hoi lakini naona leo ameonekana na afya njema.
Nje ya mada.Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
Pale wala siyo nyumbani kwake. Wewe hukuona baada ya kuhutubia ameondoka zake na msafara wa magari? Pale ni sehemu ya hotel pana hadi swimming pool.Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
DuuhHii haina shida kabisa, angeweza hata kumwita kwenye kahawa na kumwapisha hapohapo na kaxi ikasonga mbele!
Wewe ulitaka waende MLIMAN CITY ndio uelewe?
Hamna kilichopopungua kabsa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu!!Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda kama ni hivyo ila pale ni nje ya nyumbani kwake. Ila hajataka kumsogelea Mwigulu kabisa na baada ya kuhutubia akasepa zake.Hoteli yake. J'S
Kama alivyowahi kusema TL tuna........ Wa ajabu haijawah kutokea narudia tena tuna..... Wa ajabu haijawah kutokea in TL voiceDuh this is shame kabisa ila nani atahoji abak salama watu wanaogopa kesi za ML but i say this what goes around comes around this too
Time will tell jambo la muhimu Jikinge na COVID19 ipo na inaua wakinge na uwapendao
Its not over until its over...[emoji769]
Inabd atuombe msamaha watz kwa hiki walichotuletea na matokeo yake hata wenywe wanayaonaKikwete amedhalilika sana kwa ujinga alioufanya 2015
Huyu jamaa anaweza kumpeleka Kangi Lugola wizara ya fedha huyu wakati juzi tu alituaminisha kuwa ni muhujumu wa uchimiJamaa haogopi Coronavirus. Ila Dodoma haji. Mwigulu kusifia ndo kumembeba.
Iko sehem gani hii??J's Motel kaka. Ni hoteli ya Magufuli. Hivyo ni kibarazani kwake. View attachment 1438456
Alafu we dogo jana ulileta kunijua Sana kwa kunitolea maneno machafu fuko wewe.Watasema 'ni wivu tu'.
Aisee hapo kwa judge hata mimi aliniudhi sana angekua karibu lazma ningemzaba kelbu.Nikajua mimi peke yangu ndio nimeiona khofu kubwa sana aliyonayo.
Itakuwa analishwa matango pori sana na wasaidizi wake na yeye sababu hana uwezo wa kupembua anayabeba tuu.
Yaani rais wa nchi anadai "watu wanaofanya mazoezi corona inawakwepa" wakati wachezaji kama rudy gobert, donovan mitchel, paul dybala na hata Mwafa ambae hufanya mazoezi mara kwa mara lakini imewapata.
Anatumia lugha ya kitu kwa jaji augustino kwa kusema "alivyoumwa tukapeleka india"
Hivi kweli Rais hajui kiswahili hadi atumie lugha hii.
Rais wa ajabu sana huyu.